Matic...
Najua kabisa Morinho atatimuliwa kwani anaiharibu ile timu bana.
Kwani hiyo misimu 2 alikuwa anacheza wapi? Kwa umri wake na uwezo wake wa kucheza zaidi ya nafasi moja alikuwa ana msaada sana kwa Chelsea.Kumbuka Terry umri ushasogea siku akiumia ndio utamkumbuka Luiz
Striker mnae Lukaku lakini Morinyo hamtaki pia,i hope ulimuona jana alivyotupia hat-trick
Kuuza wachezaji sio shida but tatizo unawauza wakati gani,Nakumbuka Wenger amelaumiwa sana kuwauza kina Nasri,RVP,Song na wengineo.Mourinho wa miaka 4 iliyopita alikuwa hawezi kuuza wachezaji wake ovyo ovyo.

Mie sio mgeni ndugu na pia ni shabiki wa Chelsea ila kumuachia Luiz na Terry ndo amezeeka

unajua pesa ambayo CHELSEA FC imevuna kwa kumuuza DAVID LUIZ?
Ndio maana nakwambia FFP imemfanya Jose amekuwa kama Wenger,now misimu 2 mfululizo amekuwa msindikizaji.Chelsea walimnunua Luiz £ mil 21+Matic then ikabidi kumnunua tena Matic kwa £ mil 21 na mnamuuza Luiz kwa £ mil 40,tuambie hayo mapesa waliyovuna

Thamani ya Nemanja Matic ilikuwa ndogo, haikuzidi M.4.
therefore: 21+4 = 25.
thus taking 40-25 = 15M
profit = 15M. [pure business]
prophy-less for how many seasons?
compare with your ARSENAL group.
For 19 days unachemaje? khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee OK I will give you a month .... ..... ... .tick tick ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na weye Je? Au unahechabu na lile la vifaranga? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Usichanganye mada mkuu deal ya Mata ni nyingine kabisa but deal la Luiz/Matic ni moja ukianza
Luiz 25+Matic 21=46
Mauzo ya Luiz 40
Profit=-6
Siyaoni hayo mapesa mliyovuna
FFP imemfanya Morinyo hana tofauti na Wenger
![]()
Off the pitch: Trophyless Chelsick are worth £298million as a brand
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
so what is your point?