Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu naona kama liverpool,man u,na arsenal si lolote msimu unaokuja,but nikiangalia vifaa vinavyosajiliwa na man city ni noma,natamani msimu unaoanza tusipoteze mechi hata moja
 
YOU ARE OBSESSED WITH JOSE MOURINHO........kuwa obsessed ni tofauti na kupenda.

hakuna kosa, hapa ni mahali pake stahiki. this is CHELSEA FC THREAD.
wewe RRONDO na mkuu Belo pia hamjakatazwa kumshabikia Van Gaal au kumkumbuka Sir ALex.

Acheni watu wa Chelsea Fc washabikie timu na kocha wao..
au mkuu wewe ulipokuwa mshabiki wa PSG na Galatasaray na ATm kuna mtu aliyekukataza mkuu?

:spit:
 
Wakuu naona kama liverpool,man u,na arsenal si lolote msimu unaokuja,but nikiangalia vifaa vinavyosajiliwa na man city ni noma,natamani msimu unaoanza tusipoteze mechi hata moja

Ondoa hofu mkuu Viol, kila kitu kiko 'under control' mambo yatakuwa sawa kuanzia hapa jamvini hadi kule darajani.

si unaona nipo jukwaani kila siku sijaenda likizo? Huu msimu ni mzuri kwetu. tukae mkao wa kula.:hungry: Ebwana ukikutana na Ntuzu msalimie sana.
 
Mkuu agosti 8 mi Mzima sn ndugu Yangu!

Niko jukwaa la Dini/Imani sana! Kule tunajadiliana mambo ya uzima Wa milele!

Nipo Mkuu! Cfc forever

One love Mkuu agosti 8

KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
hakuna kosa, hapa ni mahali pake stahiki. this is CHELSEA FC THREAD.
wewe RRONDO na mkuu Belo pia hamjakatazwa kumshabikia Van Gaal au kumkumbuka Sir ALex.

Acheni watu wa Chelsea Fc washabikie timu na kocha wao..
au mkuu wewe ulipokuwa mshabiki wa PSG na Galatasaray na ATm kuna mtu aliyekukataza mkuu?

:spit:
Mentor Ntuzu na wengineo wanampenda JOSE MOURINHO ndio maana sijawataja....ila wewe YOU ARE OBSESSED WITH JOSE MOURINHO.......tofauti na hao wengine niliowataja,kuna tofauti kushabikia,kupenda kitu na kuwa OBSESSED na kitu....wewe uko obsessed na mourinho mpaka uko blinded.
 
mie sijakulaumu kwa sababu ya kuichukia Chelsea mbona?
uwe unajifunza kuheshimu maoni ya wengine mkuu..:angry:
 
hizi takwimu vipi mkuu RRONDO? je, kuna uwongo hapa? je, nimchukie Mourinho?

BC_yqfrCUAARyDz.jpg:large

haya naheshimu maoni yako.
 
sasa wewe mkuu RRONDO kama unakutana na huyu ndugu yetu Ntuzu huko ..mbona wewe unapatikana hapa yeye huwa unamwacha huko huko? ha aha ha ha nimecheka sana aisee.:biggrin1::biggrin1:

mimi na huyu ndugu yangu huwa tunagongana mitaa mingi sana tunabaki kuambiana 'AAH NA WEWE UNAFIKAGA HUKU??!!'
 
sasa wewe mkuu rrondo kama unakutana na huyu ndugu yetu ntuzu huko ..mbona wewe unapatikana hapa yeye huwa unamwacha huko huko? Ha aha ha ha nimecheka sana aisee.:biggrin1::biggrin1:

tatizo mimi nazurula sana niko kila mtaa situlii sehemu moja.....huyu braza naona kuna mtaa katulia huko!
 
hizi takwimu vipi mkuu rrondo? Je, kuna uwongo hapa? Je, nimchukie mourinho?

bc_yqfrcuaarydz.jpg:large

hebu nikumbushe hivi tushagongana na mourinho cl zaidi ya ile ya fc porto ambapo refa alikataa goli la ushindi la paul scholes?? Ile tuliyotolewa na real madrid nani akapewa red ilikuwa mourinho au ancelloti??
 
wamesema all competition mkuu..si UEFA peke yake.
premier league SAF kahangaika sana na Jose..

kijana kiboko huyu, hata the Dutch Master Van Gaal anajua..

au vipi?
hebu nikumbushe hivi tushagongana na mourinho cl zaidi ya ile ya fc porto ambapo refa alikataa goli la ushindi la paul scholes?? Ile tuliyotolewa na real madrid nani akapewa red ilikuwa mourinho au ancelloti??
 
Maisha yanaendelea kama kawaida..nawatakieni heri huko mnakopita, Naona sasa mmembeba na kijana wangu wa kazi Mentor, mrudisheni huyu kijana jamani..

:A S-eek:
tatizo mimi nazurula sana niko kila mtaa situlii sehemu moja.....huyu braza naona kuna mtaa katulia huko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom