Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

images

Di Matteo na Gustavo Poyet.
 
321694_1.jpg

baada ya kupoteza mechi vs Juventus..kocha
Di Matteo aliumia kama mashabiki walivyoumia.
Hii ndo maana huyu jamaa bado anakumbukwa.
 
Wakuu naona kama liverpool,man u,na arsenal si lolote msimu unaokuja,but nikiangalia vifaa vinavyosajiliwa na man city ni noma,natamani msimu unaoanza tusipoteze mechi hata moja

Kaeni humu mjifariji huyo maurinyo anamiaka 4 ya kusubiri for Tittle na vilevile ana miaka 7 ya kusubiri for ucl trophy sijui kama mrusi atamvumilia nakiona kiama cha maureen hapo darajani kipo karibu sana!!
 
hiyo ni betting au ni mpira?
 
Wenger amengoja miaka mingapi?
Liverpool wamengoja miaka mingapi?

sisi tutashindwaje kuvumilia? WE are Chelsea Fc, forever blue.

Utakuwa hujanielewa mrusi anaweza kuvumilia hata miaka kumi club yake kupata tittle lakini hawezi kumvumilia jose kama manager misimu minne bila tittle. Wenger ana hisa zake pale uwezekano wa kufia pale bila vikombe upo kuliko Chelsea ambayo mwenye sauti ni mmoja akiamua ndo ivo hakuna wa kubisha!
 
umekariri kumbe? unataka kusema Arsenal fc wakiwa #12 kwa misimu 2 Wenger ataendelea kuwa kocha wa Arsenal?

angali kwanza idadi ya post zako ..jiulize ikiwa mimi nahitaji kubishana chochote na wewe, Blac kid..hili ni jukwaa la watu wazima.

Chelsea Fc 6-0 Arsenal fc
Chelsea fc 3- 1 man utd.
chelsea fc 2-1 man city.
chelsea fc 4- 0 spurs.
chelsea fc 2- 0 liverpool.

na wewe Blac kid[Arsenal fan]

Arsenal 0 - 6 Chelsea fc
Arsenal 1 - 5 liverpool fc
Arsenal 3- 6 man city.
kwani ni mbali sasa? Ni muda tu tena si kitambo utatafuta page ya 976 kuja kumwaga like kwa blac kid.
 
while you are dreaming..we are doing.

photo102-800x504.jpg

Kaeni humu mjifariji huyo maurinyo anamiaka 4 ya kusubiri for Tittle na vilevile ana miaka 7 ya kusubiri for ucl trophy sijui kama mrusi atamvumilia nakiona kiama cha maureen hapo darajani kipo karibu sana!!
 
umekariri kumbe? unataka kusema Arsenal fc wakiwa #12 kwa misimu 2 Wenger ataendelea kuwa kocha wa Arsenal?

Labda aone aibu lakini yeye ni sehemu ya umiliki, jose ni kibarua tu pale. Halafu uongozi wa chelsea ni tofauti club nyingine club nyingi zinakaa bodi ya ugurenzi kujadili lakini chelsea Abramovich akiamka leo na kutaka hiki hakuna atakayehoji.
 
angali kwanza idadi ya post zako ..jiulize ikiwa mimi nahitaji kubishana chochote na wewe, Blac kid..hili ni jukwaa la watu wazima.

Chelsea Fc 6-0 Arsenal fc
Chelsea fc 3- 1 man utd.
chelsea fc 2-1 man city.
chelsea fc 4- 0 spurs.
chelsea fc 2- 0 liverpool.

na wewe Blac kid[Arsenal fan]

Arsenal 0 - 6 Chelsea fc
Arsenal 1 - 5 liverpool fc
Arsenal 3- 6 man city.

Hujalazimishwa kujadili na mtu mwenye post chache kama kigezo chako kinavyotaka, halafu mie si fan wa arsenal ni mwana liverpool damu damu. Ngoja nimsubiri viol tuje tujadili make ndo zogo lilpoanzia labda kama naye sitakizi vigezo vya kubishana naye itabidi nisepe.
 
kumbe wewe kijana wa BR?
Pole kwa kukupatia timu isiyokuwa yako Blac kid..

inamaana kumbe wewe na Viol ndo mnatoshana? Poa, usijali mkuu..

LIVERPOOL FC wanatujua pia ..we are CHELSEA FC

Hujalazimishwa kujadili na mtu mwenye post chache kama kigezo chako kinavyotaka, halafu mie si fan wa arsenal ni mwana liverpool damu damu. Ngoja nimsubiri viol tuje tujadili make ndo zogo lilpoanzia labda kama naye sitakizi vigezo vya kubishana naye itabidi nisepe.
 
Vipi pale kwenu, LFC pia si mnae mmiliki au hamna?

Labda aone aibu lakini yeye ni sehemu ya umiliki, jose ni kibarua tu pale. Halafu uongozi wa chelsea ni tofauti club nyingine club nyingi zinakaa bodi ya ugurenzi kujadili lakini chelsea Abramovich akiamka leo na kutaka hiki hakuna atakayehoji.
 
mkuu tulia, si hata wewe umesema sisi 'tunajifariji' tu? na kwamba ubingwa ni wa kwenu?
mimi nimeweka bango la mataji kupinga hoja yako kwamba tutakaa miaka 7 bila kombe. umenipata Blac kid?

I'm dreaming for what? Ivi kama nyie mnaamini mnafanya usajili wa maana kuliko mahasimu wenu inamaana sie kuja kutetea ndo imekuwa kuota?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom