![]()
this is the second coming of JOSE MOURINHO.
je, umegundua kwamba kuna watu wako na Mourinho kila timu anayofundisha?
lete mawazo yako hapa tujadili..
Mourinho alifikisha pointi 95 kwenye EPL, pointi 5 tu pungufu ya 100. SAF kafungisha kwa miaka 26 lakini hajawahi kufikisha kiasi hicho cha pointi
Tito Vilanova, alifikia pointi 100 baada ya Mourinho kuweka rekodi hiyo. Kataa kubali, Jose Mourinho anakufanya ufikiri na ufanye kazi kwa bidii. Bila Mou, ligi inapooza,,that's why he's the special one.
95 its not equal to 100,priority ya Real Madrid kumpa kazi ilikuwa ni kuchukua la decima kitu ambacho alishindwa ndani ya misimu 3 while Anceloti ameipata ndani ya msimu mmoja with the same players
Mkuu hao jamaa aliokua nao kwenye 1st coming alifanya nao kazi katika clubs tatu, Porto, Chelsea na Inter ukimuacha Steve Clarke maana huyo alimkuta Chelsea na alimuacha.
Kuna kocha wa mazoezi ya viungo (no1) anaitwa Rui Faria nadhani, huyo jamaa ndio best friend wa Mourinho akiwa kazini na nje ya kazi, then kuna huyo babu (no2) ni kocha wa makipa simkumbuki jina lake, hawa wawili ndio watu wa karibu sana na Mourinho, amefanya nao kazi clubs zote alizopitia kwa mafanikio makubwa Porto, Chelsea, Inter, Madrid then Chlsea. Akibwaga manyanga nao wanasepa naye, akipata ajira mpya hawaachi kamwe.
Huyo mwingine no3 nadhani alikuja kuchukua nafasi ya AVB wakiwa Madrid, kazi ya kuwasoma wapinzani kwa details, wanacheza mfumo upi, mchezaji gani anastyle gani, weakness, strength et al, na kupeleka taarifa hizo kwa bench la ufundi na ikibidi kushea na wachezaji pindi wajiandaapo na mechi husika.
Kuna huyo mwingine kulia kwa picha ya kwanza (1st coming) sina info nae zaidi ila nadhani alifanya na Mou mpaka Inter. AVB alichomokea Inter akidai kupewa majukumu zaidi wakati Mou alimuona "hajaiva", Aito Karanka (hayupo pichani) aliyekua msaidizi wake wa kwanza Madrid, kwa maneno ya Mou, alishakua 'party of the family' na Mou alimpa nafasi ya kuja naye Chelsea lakini Karanka alishikwa na kigugumizi akiamini Madrid wangempa nafasi kwenye bench la ufundi la Ancelotti, nafasi ambayo aliikosa lakini ni Mourinho ndiye aliyemshtua na kumshauri kwenda Middlesborough ambako anafundisha mpaka leo hii.
Then kuna Steve huyo no4 ambaye ndio first team assistant coach wa sasa wa Chelsea, huyo alikuwepo toka enzi za Di Matteo nadhani alipandishwa baada ya kufanya vizuri na academy. Huyo babu no5 huwa nina hamu sana ya kujua majukumu yake, mara nyingi huwa anakuwepo kasimama pale kwenye entrance ya dugout, bila shaka Mkuu una taarifa zake
Ila Mkuu ungeweka na picha za yule doctor wenu yule, anaitwa Eve kama sikosei, namuhusudu sana yule manzi, Drogba alikua anajiangusha sana ili apate kupetiwapetiwa na huyo manzi, lol!
M
#2 ni Assistant First Team Coach - SILVINO LOURO.
walopokuja mwanzoni mwaka 2004, jamaa kazi yake kubwa ilikuwa kufundisha makipa.
Kwa sasa hiyo kazi inafanywa na kocha wa Petr Cech, ambaye alikuwa anamfundisha Renes, Ufaransa, alikuja 2007[Christophe Lollichon]
SILVINO LOURO alipokuwa kipa wa AS Benfica ya Ureno.
Mkuu hao jamaa aliokua nao kwenye 1st coming alifanya nao kazi katika clubs tatu, Porto, Chelsea na Inter ukimuacha Steve Clarke maana huyo alimkuta Chelsea na alimuacha.
Kuna kocha wa mazoezi ya viungo (no1) anaitwa Rui Faria nadhani, huyo jamaa ndio best friend wa Mourinho akiwa kazini na nje ya kazi, then kuna huyo babu (no2) ni kocha wa makipa simkumbuki jina lake, hawa wawili ndio watu wa karibu sana na Mourinho, amefanya nao kazi clubs zote alizopitia kwa mafanikio makubwa Porto, Chelsea, Inter, Madrid then Chlsea. Akibwaga manyanga nao wanasepa naye, akipata ajira mpya hawaachi kamwe.
Huyo mwingine no3 nadhani alikuja kuchukua nafasi ya AVB wakiwa Madrid, kazi ya kuwasoma wapinzani kwa details, wanacheza mfumo upi, mchezaji gani anastyle gani, weakness, strength et al, na kupeleka taarifa hizo kwa bench la ufundi na ikibidi kushea na wachezaji pindi wajiandaapo na mechi husika.
Kuna huyo mwingine kulia kwa picha ya kwanza (1st coming) sina info nae zaidi ila nadhani alifanya na Mou mpaka Inter. AVB alichomokea Inter akidai kupewa majukumu zaidi wakati Mou alimuona "hajaiva", Aito Karanka (hayupo pichani) aliyekua msaidizi wake wa kwanza Madrid, kwa maneno ya Mou, alishakua 'party of the family' na Mou alimpa nafasi ya kuja naye Chelsea lakini Karanka alishikwa na kigugumizi akiamini Madrid wangempa nafasi kwenye bench la ufundi la Ancelotti, nafasi ambayo aliikosa lakini ni Mourinho ndiye aliyemshtua na kumshauri kwenda Middlesborough ambako anafundisha mpaka leo hii.
Then kuna Steve huyo no4 ambaye ndio first team assistant coach wa sasa wa Chelsea, huyo alikuwepo toka enzi za Di Matteo nadhani alipandishwa baada ya kufanya vizuri na academy. Huyo babu no5 huwa nina hamu sana ya kujua majukumu yake, mara nyingi huwa anakuwepo kasimama pale kwenye entrance ya dugout, bila shaka Mkuu una taarifa zake
Ila Mkuu ungeweka na picha za yule doctor wenu yule, anaitwa Eve kama sikosei, namuhusudu sana yule manzi, Drogba alikua anajiangusha sana ili apate kupetiwapetiwa na huyo manzi, lol!
M
mkuu hao jamaa aliokua nao kwenye 1st coming alifanya nao kazi katika clubs tatu, porto, chelsea na inter ukimuacha steve clarke maana huyo alimkuta chelsea na alimuacha.
Kuna kocha wa mazoezi ya viungo (no1) anaitwa rui faria nadhani, huyo jamaa ndio best friend wa mourinho akiwa kazini na nje ya kazi, then kuna huyo babu (no2) ni kocha wa makipa simkumbuki jina lake, hawa wawili ndio watu wa karibu sana na mourinho, amefanya nao kazi clubs zote alizopitia kwa mafanikio makubwa porto, chelsea, inter, madrid then chlsea. Akibwaga manyanga nao wanasepa naye, akipata ajira mpya hawaachi kamwe.
huyo mwingine no3 nadhani alikuja kuchukua nafasi ya avb wakiwa madrid, kazi ya kuwasoma wapinzani kwa details, wanacheza mfumo upi, mchezaji gani anastyle gani, weakness, strength et al, na kupeleka taarifa hizo kwa bench la ufundi na ikibidi kushea na wachezaji pindi wajiandaapo na mechi husika.
Kuna huyo mwingine kulia kwa picha ya kwanza (1st coming) sina info nae zaidi ila nadhani alifanya na mou mpaka inter. Avb alichomokea inter akidai kupewa majukumu zaidi wakati mou alimuona "hajaiva", aito karanka (hayupo pichani) aliyekua msaidizi wake wa kwanza madrid, kwa maneno ya mou, alishakua 'party of the family' na mou alimpa nafasi ya kuja naye chelsea lakini karanka alishikwa na kigugumizi akiamini madrid wangempa nafasi kwenye bench la ufundi la ancelotti, nafasi ambayo aliikosa lakini ni mourinho ndiye aliyemshtua na kumshauri kwenda middlesborough ambako anafundisha mpaka leo hii.
Then kuna steve huyo no4 ambaye ndio first team assistant coach wa sasa wa chelsea, huyo alikuwepo toka enzi za di matteo nadhani alipandishwa baada ya kufanya vizuri na academy. Huyo babu no5 huwa nina hamu sana ya kujua majukumu yake, mara nyingi huwa anakuwepo kasimama pale kwenye entrance ya dugout, bila shaka mkuu una taarifa zake
ila mkuu ungeweka na picha za yule doctor wenu yule, anaitwa eve kama sikosei, namuhusudu sana yule manzi, drogba alikua anajiangusha sana ili apate kupetiwapetiwa na huyo manzi, lol!
M
Uwe na subira mkuu, muda si muda utamwona hapa jukwaani.
![]()
this is the second coming of JOSE MOURINHO.
je, umegundua kwamba kuna watu wako na Mourinho kila timu anayofundisha?
lete mawazo yako hapa tujadili..
![]()
EVA CARNERIO
887655666444444444444444444444444444444444444449777777
sawa na Ancelotti hajachukua LA LIGA bado..pia Mourinho kawaweka SEMI-FINALS tatu katika miaka mitatu yote aliyokaa Real Madrid.
Kumekuwa na makocha 18+Mouriho alipokuwa Real kuanzia 1992-enzi wanamwita MOurinho pale.
Ajabu ni kwamba wote hao 18 ni mara 2 tu timu iliweza kufikia nusu fainali ya UCL, chini ya Hykens 1998 na chini ya Del Bosque 2003.
Jose mOurinho ni kiboko; hata kama hakuchukua UCL bado rekodi zake kweye mpira wa Ulaya ni kubwa sana. anayemfuata ni Ancelotti.
Kumbuka wote hao ni CHELSEA LEGENDS.