Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bwawa la maini leo hamna chenu, Chelsea yarudi kileleni kwenye EPL.
 
Tumerudi kwa kupitia mgongo wa mtu mzima..hakuna cha bwawa wala nn..

Kama hamtakuwa na majeruhi ya muda mrefu na kuacha kupoteza mechi ambazo hamstahili kupoteza kama ile ya last week basi mna nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa 2009/2010.
 
Ni kweli ila ukweli ile game ya last week tulizidiwa sana na hii naona ile kadi nyekundu ndo ilichangia kwa kiasi kikubwa ila vijana wana ari kubwa bado mwaka huu unawaweza kuwa wetu.Pamoja sana...
 
Kama hamtakuwa na majeruhi ya muda mrefu na kuacha kupoteza mechi ambazo hamstahili kupoteza kama ile ya last week basi mna nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa 2009/2010.

Tatizo letu litakuwa kubwa wakati wa ACN tukiwakosa Drogba, Essien, Mikel na Kalou....hivyo tunatakiwa kushinda mechi nyingi iwezekanavyo ili kucompensate for any loss ahead.
 
Hapa umesema kweli tunaweza kuwa na wakati mgumu kidogo hiyo mida ikifika hawa watu muhumu sana kwa timu..
 
John Terry (Mr Chelsea) Kept in his back pocket very quite Torres! Bring the Arsenal
 
Tatizo letu litakuwa kubwa wakati wa ACN tukiwakosa Drogba, Essien, Mikel na Kalou....hivyo tunatakiwa kushinda mechi nyingi iwezekanavyo ili kucompensate for any loss ahead.

Peasant!! sio tatizo kubwa sana kuwakosa hao jamaa, ukizingatia hatutakuwa na gemu ya kutisha sana, hapo tunamuhitaji Essien arudi mapema kuliko wengine wote, drogba tunaweza kulazimisha viraka vikaziba pengo lake ila kwa Mr Essien, kazi ipo. mechi za kipindi cha ACN ni hizi,
Jan 9/2010 Hull v Chelsea,
Jan 16 Chelsea v Sunderland,
Jan 27 Chelsea v Birmingham,
Jan 30 Burnley v Chelsea, na
Feb 6 Chelsea v Arsenal,
Gemu ambayo inaonekana ni ngumu ni hii ya mwisho, japo inategemea timu zilizoingia fainali, wachezaji wengi watakuwa wamesharudi.
Kwa hiyo the bluees bado tuna nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa.
 
Watani hongereni sana, you played well and its deffo that liverpool were not up to the game
 
Fernando-Torres-Frank-Lampard-Chelsea-Liverpo_2368984.jpg

Nicolas-Anelka-Chelsea-Premier-League_2369058.jpg

Nicolas-Anelka-Chelsea-Premier-League-PA_2369062.jpg

Didier-Drogba-Chelsea-Premier-League_2369069.jpg
 
Peasant!! sio tatizo kubwa sana kuwakosa hao jamaa, ukizingatia hatutakuwa na gemu ya kutisha sana, hapo tunamuhitaji Essien arudi mapema kuliko wengine wote, drogba tunaweza kulazimisha viraka vikaziba pengo lake ila kwa Mr Essien, kazi ipo. mechi za kipindi cha ACN ni hizi,
Jan 9/2010 Hull v Chelsea,
Jan 16 Chelsea v Sunderland,
Jan 27 Chelsea v Birmingham,
Jan 30 Burnley v Chelsea, na
Feb 6 Chelsea v Arsenal,
Gemu ambayo inaonekana ni ngumu ni hii ya mwisho, japo inategemea timu zilizoingia fainali, wachezaji wengi watakuwa wamesharudi.
Kwa hiyo the bluees bado tuna nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa.

Ninakubaliana na wewe mkuu Kisale.
Hizo sio ngumu sana hata kama hatuna kikosi kamili, tunaweza kupambana. Hiyo ya Arsenal nategemea baadhi ya wachezaji watakuwa wamerudi tayari, hopefully Essien.
 
Peasant!! sio tatizo kubwa sana kuwakosa hao jamaa, ukizingatia hatutakuwa na gemu ya kutisha sana, hapo tunamuhitaji Essien arudi mapema kuliko wengine wote, drogba tunaweza kulazimisha viraka vikaziba pengo lake ila kwa Mr Essien, kazi ipo. mechi za kipindi cha ACN ni hizi,
Jan 9/2010 Hull v Chelsea,
Jan 16 Chelsea v Sunderland,
Jan 27 Chelsea v Birmingham,
Jan 30 Burnley v Chelsea, na
Feb 6 Chelsea v Arsenal,
Gemu ambayo inaonekana ni ngumu ni hii ya mwisho, japo inategemea timu zilizoingia fainali, wachezaji wengi watakuwa wamesharudi.
Kwa hiyo the bluees bado tuna nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa.

Kwani mlivyocheza na Wigan mlikuwa hamjakamilika? Kumbuka vile vile mna ban ya kutokusajili kwa hiyo ombeni msipate majeruhi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom