Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Football Club and adidas have today revealed the new away kit for the 2014/15 season, inspired by famous yellow kits from the club's past.

Chelsea fans of all ages will have great memories of Chelsea in a yellow away strip, from its first outings with the likes of Peter Osgood in the 1960s and 1970s, through unforgettable moments with Clive Walker in the 1980s and Gianfranco Zola in the 1990s, up to Frank Lampard's memorable winner in the FA Cup final of 2009.

0,,10268%7E12851490,00.jpg

The new shirt will be the lightest Chelsea away shirt ever produced, featuring the latest in adiZero lightweight technology and a polo collar which pays tribute to the retro designs, as well as an iconic blue stripe across the back which contrasts the two traditional Chelsea colours.

CFC - FOREVER BLUE.
CC: Ntuzu, Mentor,..
 
agosti 8 Nashukuru sn Kwa taarifa yake

Asanteni sana;
kila mtu ahakikishe CHELSEA FC THREAD inakuwa 'front cover'..huu ndo ushabiki wa kweli.
si wakati wa ligi tu..hata wakati huu.

tena kwenye kombe la Dunia; kwanza nashangilia popote penye mchezaji wetu; wachezaji 18 lazima kuna mmoja atabeba kombe la dunia.

:smiling:
 
Ni kweli Mkuu! Ntajitahidi kadri ya uwezo wng kuhakikisha kila habari motomoto naiweka humu!

CFC Forever!
 
Asanteni sana;
kila mtu ahakikishe CHELSEA FC THREAD inakuwa 'front cover'..huu ndo ushabiki wa kweli.
si wakati wa ligi tu..hata wakati huu.

tena kwenye kombe la Dunia; kwanza nashangilia popote penye mchezaji wetu; wachezaji 18 lazima kuna mmoja atabeba kombe la dunia.

:smiling:

hahaha kombe linaenda italy
 
kitambo kweli ndugu, vipi tena eto'0 mbona anazidi kunyea kambi au yale maneno ya uzee kwa mou yanamchoma?

Inawezekana Mkuu! Maana ata Mimi Na Mashaka Na uwepo Wa Eto'o lkn ngoja tuone itakavyokua!
 
Last edited by a moderator:
kitambo kweli ndugu, vipi tena eto'0 mbona anazidi kunyea kambi au yale maneno ya uzee kwa mou yanamchoma?

waandishi wa habari wa Uingereza wanampenda kumchokoza Mourinho.
Mourinho alisema huenda jamaa ni mkubwa.
Lakini mke wake wa zamani ndo aliyesema jamaa ana 39yrs.
Kama si mzee kwa nini ahangaike?

hiyo ishu ilishaisha..MEDIA wanaifufua tu!
 
na wewe utaacha lini kumtetea mourinho kwa kila asemacho??!!! hata mourinho alijua kasema maneno mabaya ila hayakutakiwa yatoke kuna wambea ndio wameyatoa tu. na e'to kuna siku hivi karibu alimwita mourinho fool kwahio kwake haijaisha hii issue.
 
Na wewe utaacha lini kumsakama Jose Mourinho?
 
waandishi wa habari wa Uingereza wanampenda kumchokoza Mourinho.
Mourinho alisema huenda jamaa ni mkubwa.
Lakini mke wake wa zamani ndo aliyesema jamaa ana 39yrs.
Kama si mzee kwa nini ahangaike?

hiyo ishu ilishaisha..MEDIA wanaifufua tu!

ila juzi tena kaliibua kamwita mou ni puppet
 
na wewe utaacha lini kumtetea mourinho kwa kila asemacho??!!! hata mourinho alijua kasema maneno mabaya ila hayakutakiwa yatoke kuna wambea ndio wameyatoa tu. na e'to kuna siku hivi karibu alimwita mourinho fool kwahio kwake haijaisha hii issue.

na navojua watoto wa kiafrika huwa msala hauishi hivihvi
 
waandishi wa habari wa Uingereza wanampenda kumchokoza Mourinho.
Mourinho alisema huenda jamaa ni mkubwa.
Lakini mke wake wa zamani ndo aliyesema jamaa ana 39yrs.
Kama si mzee kwa nini ahangaike?

hiyo ishu ilishaisha..MEDIA wanaifufua tu!

Japokuwa Mourihno ni kocha wa klabu unayoishabikia Ila kubali tu Ana tabia mbovu ya Kuropoka na kutoa kauli mbovu..
Hata kama Hakuitoa hadharani ila kutamka tu tayari ni tatizo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom