Khe Khe Khe Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
maajabu ya dunia;
Khe Khe Khe Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu umesahau kwamba si hatushindagi bei...si tunafocus kwenye vikombe with very LOW BUDGET, na tumeweza na tutaweza....hahaaahaaa, BTW shindaneni na Madrid mkiweza.sawa jirani.
swali langu moja kwako: lini uliwahi kuuza mchezaji angalau kwa dau la Pauni milioni 35?
sisi tunauza bei nzuri; Mata 37, David LUiz 50, najua unaona wivu tu.
tunauza; tunasajili wengine..shida yako nini jirani?
Mkuu sio mimi bhana...ni kocha wenu!! Badae msitafute mchawi tu,mnajiloga wenyewe!! u fly HighJirani yamekua hayo?
KTBFFH
Mkuu umesahau kwamba si hatushindagi bei...si tunafocus kwenye vikombe with very LOW BUDGET, na tumeweza na tutaweza....hahaaahaaa, BTW shindaneni na Madrid mkiweza.
Mkuu sio mimi bhana...ni kocha wenu!! Badae msitafute mchawi tu,mnajiloga wenyewe!! u fly High
Mkuu nakushangaa unauza gari halafu unanunua baiskeli ilhali una km 1000 za kuzifikia..!!! Washangaza sana. Sidhani kama mtapata better replacement wa Luis...sidhani. Sitashangaa kuona Matic anapigwa bei pia.tumejiroga kivipi tena?
kwani ligi imeanza? tulieni majirani..
tunauza na kununua wachezaji..huu ni wakati mwafaka kufanya haya.
wewe si uliuza VAN PERSIE na kuwapa MAN UTD ubingwa wa 20?
tulia na sisi tuuze kidogo.🙂
Mkuu nakushangaa unauza gari halafu unanunua baiskeli ilhali una km 1000 za kuzifikia..!!! Washangaza sana. Sidhani kama mtapata better replacement wa Luis...sidhani. Sitashangaa kuona Matic anapigwa bei pia.
Usibeze!! Hata hiyo 9yrs ilianza na 1....so kama tumeweza kutwaa kikombe kimoja in 9 yrs...means we are in good position to achieve 9 trophies onward!! We are through it.YES!
a cup after 9 years.
Usisahau pale kati Luiz alipamudu sana na ile combination ya mtu tatu Williams na Hazard...mkuu pale mmechemsha kumuuza!! Hazard mwenyewe ashaanza malalamiko sidhani kama mna good future in the coming season.tumezoea kufanay maamuzi magumu kwa manufaa ya timu.
tulimfukuza AVB tukampa kazi Di Matteo ..alafu unajua ilikuwaje?
David Luiz ni mchezaji mzuri; lakini hatuwezi kukataa M.50 aisee!
Haiwezekani kuziacha..majukumu ya LUiz yanatimizwa vizuri kabisa na Garry Cahill,
kuhusu LUiz kucheza kati ni kwa sababu ya kutimiza jukumu la 'destroyer'.
nitakuja kuzungumzia hapa jamvini aina za viungo.
Mkuu nakushangaa unauza gari halafu unanunua baiskeli ilhali una km 1000 za kuzifikia..!!! Washangaza sana. Sidhani kama mtapata better replacement wa Luis...sidhani. Sitashangaa kuona Matic anapigwa bei pia.
Usisahau pale kati Luiz alipamudu sana na ile combination ya mtu tatu Williams na Hazard...mkuu pale mmechemsha kumuuza!! Hazard mwenyewe ashaanza malalamiko sidhani kama mna good future in the coming season.
Nina hamu huyo Matic auzwe pia...
Usibeze!! Hata hiyo 9yrs ilianza na 1....so kama tumeweza kutwaa kikombe kimoja in 9 yrs...means we are in good position to achieve 9 trophies onward!! We are through it.
Usisahau pale kati Luiz alipamudu sana na ile combination ya mtu tatu Williams na Hazard...mkuu pale mmechemsha kumuuza!! Hazard mwenyewe ashaanza malalamiko sidhani kama mna good future in the coming season.
Nina hamu huyo Matic auzwe pia...