Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

watani agosti 8 na Ntuzu DAVID LUIZ anaondoka huyo kwenda PSG....sijui wameona nini hapo kwa huyo jamaa...50m !!
 
Last edited by a moderator:
lazma waje na kauli za kumlinda mournho wao

Wakuu RRONDO Na Rockcity native KTK kitu ambacho kimeniumiza Ni kuondoka Kwa Huyu beki alie komaa KTK soccer yeyote ile! Kwakweli nimeumia sn! Na Sijui nianzie wapi KTK kuelezea hii habari! Labda wameamua Kutengeneza Pesa Kwa hiyo m50£ . Au David Luiz mwenyew alikua haliziki kuchezeshwa no ambayo Sio Yake! Ngoja nifatilia Kwa kina hizi habari!
 
hio ni ofa ambayo huwezi kataa.
 
hio ni ofa ambayo huwezi kataa.

Ni kweli lkn tunahitaji ukuta imara! Na DL alikua Ni Msaada sn KTK nafasi ya ulinzi Na viungo wakabaji!

Pesa si kitu sn! Tunahitaji makombe msimu ujao Kwa timu imara! Sasa km Ndio inaanza kubomolewa si itakua shida! Terry si wakutegemea sn! Ni UMRI umeenda ms Yule dogo Tomas Kalas bado sn! Anahitaji msimu mmoja Au miwili Ndio akomae awe vzr!
 
Wakuu RRONDO Na Rockcity native KTK kitu ambacho kimeniumiza Ni kuondoka Kwa Huyu beki alie komaa KTK soccer yeyote ile! Kwakweli nimeumia sn! Na Sijui nianzie wapi KTK kuelezea hii habari! Labda wameamua Kutengeneza Pesa Kwa hiyo m50£ . Au David Luiz mwenyew alikua haliziki kuchezeshwa no ambayo Sio Yake! Ngoja nifatilia Kwa kina hizi habari!

ofa nzuri sana hiyo kwa mtu ambaye hakuwa hana namba ya uhakika.. Ila huwa akicheza kwenye ukataji umeme jamaa huwa anakichafua sana
 
Last edited by a moderator:
ofa nzuri sana hiyo kwa mtu ambaye hakuwa hana namba ya uhakika.. Ila huwa akicheza kwenye ukataji umeme jamaa huwa anakichafua sana

Nakubali ofa nu nzuri na ndo Maana aya Mimi Nimesema huenda Chelsea wameamua Kutengeneza Pesa! Lkn jamaa alikua vzr ana vitu Vya pekee Ni kwamba Jose Nafikiri anawaogopa waingereza Ndio Maana alikua hampi nafasi KTK no yake halisi! Maana Nakumbuka wakati Wa Di Mateo, alikua anampa nafasi sn tu DL Na alifanya vzr sn KTK CL etc!
 
Pia kutokana na Financial Fair Play rules, Chelsea hawezi kupend kununua wachezaji wapya bila kuuza wachezaji.

According to Chelsea website, it is a deal done subject to medical and personal terms: DAVID LUIZ MOVE AGREED | News Article | News | Official Site | Chelsea Football Club

They bought him 21.3m about three years ago and they are selling him for about £40.

Not a bad deal at all for Chelsea and Luiz.

Pia kaijiwekea record. He will be the world most expensive defender ahead of Thiago Silva from AC Milan to PSG (£36).

Mkuu EMT nimesoma hiyo habari Kwa wavuti ya Chelsea! Kweli Ni faida kumuuza lkn wamengemuacha angalau Kwa misimu miwili hivi! Ndio ametusaidia kuchukua makombe mawili makubwa ya ulaya! Lkn bado mi Nafikiri mchango wake KTK timu bado ulikua unahitajika! Kwasababu Sioni mbadala wake pale!
 
Last edited by a moderator:
Nakubali ofa nu nzuri na ndo Maana aya Mimi Nimesema huenda Chelsea wameamua Kutengeneza Pesa! Lkn jamaa alikua vzr ana vitu Vya pekee Ni kwamba Jose Nafikiri anawaogopa waingereza Ndio Maana alikua hampi nafasi KTK no yake halisi! Maana Nakumbuka wakati Wa Di Mateo, alikua anampa nafasi sn tu DL Na alifanya vzr sn KTK CL etc!

Siyo pesa tuu. FFP rules have forced them to sell and then use the money to buy a striker.

Mabeki wapo wengi akina Kalas na Chalobah are defensive options.

Pia watu wamemsahau central defender Zouma aliyenunuliwa in January for 12m?
 
Mkuu EMT nimesoma hiyo habari Kwa wavuti ya Chelsea! Kweli Ni faida kumuuza lkn wamengemuacha angalau Kwa misimu miwili hivi! Ndio ametusaidia kuchukua makombe mawili makubwa ya ulaya! Lkn bado mi Nafikiri mchango wake KTK timu bado ulikua unahitajika! Kwasababu Sioni mbadala wake pale!

Halafu mngenunua striker kwa pesa ipi?

Mbadala upo. Inanovic siyo right back, ni centre defender.

Azpilicueta nae siyo left back, ni right back.

So, technically anahitajika left back na siyo another central defender
 
Siyo pesa tuu. FFP rules have forced them to sell and then use the money to buy a striker.

Mabeki wapo wengi akina Kalas na Chalobah are defensive options.

Pia watu wamemsahau central defender Zouma aliyenunuliwa in January for 12m?

Kweli hao beki wapo lkn wanahitaji muda kidogo kufiks Kiwango ata cha Luiz! Sema Ni HIZO sheria ZAO!
 
Hawatafikisha hicho kiwango kama hawapewi chance.

Mfano, Kalas played only one top game and he was all good.

Hata kama ingekuwa siyo hizo sheria, bado ningeuza then nitumie hiyo pesa kununua top striker na msaidizi wake.

Beside Chelsea inabidi wafanye massive clearance.
 
Nakubali maoni yako Mkuu! Ngoja tuone mambo yatakavyokua!
 
Mwakani mnamfukuza kocha naapia kwa Mungu!
Unamuuza Luis sababu ya Kalas?Are you serious?
 
habari hzi zimenisikitisha sana. ni mara mia angeuzwa Matic. kwangu mimi nilipenda D. luiz akicheza kati kuliko beki..ila ndo hivyo tena.
 
Pole sana kocha wenu anajenga timu,usije shangaa siku kamuuza na Hazard halafu anawaongezea mkataba kina Lampard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom