MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Mosdef unadanganya umma...!
kuhusu hela, mliyospend this summer??
Mosdef unadanganya umma...!
Mosdef unadanganya umma...!
![]()
Wajemeni zile pipi zote mmemaliza kwi kwi... ..... ... .. snuf snuf!
![]()
Emo... ...ptional .. . .... . .wapi anajua zile £150 ,000 kwa wiki
haziendi tena kwenye account Cash Cole failed to hold back
the tears during Chelsicks parade lap at the cow shed on Sunday
![]()
Machozi ya mamba ... ..
![]()
Sad day snuf .. .. snuf ... ... snuf.... . Cash tears have fuelled
suggestions he will leave Chelsick when his contract runs out
![]()
Good pals: Cash shares a hug with Chelsicks team-mate
the pensioner following Sunday's match with Norwich
![]()
Ati kiongozi ... .. khe khe khe kheeeeee
kiongozi wa kuuza unga khe khe khee
![]()
Uchijali njoo nikufundishe kuuza unga
![]()
Chacha ile biashara ya kuuza unga
na wizi kwenye Super markets itashamiri ... ..
![]()
It came to this!
![]()
Trophless year for Chelsick khe he khe khe khe
khe kheeeeeeeeeeee pamoja na ngawira zote mlizotoa
If he doesnt win trophies..not if he doesnt win a trophy this season.
Asa ameshinda kombe gani katika makombe yote alyokuwa anawania this season????
Wacha uongo mlikaa miaka mingapi bila kushinda kabla Romano hajaingia? Je, wakumbuka yule refa mliyetaka kumuua baada ya kupoteza mechi?"I am not a person to stay at a club three or four years without winning a single trophy."
"When that time comes, I wil not wait for Chelsea to tell me ......"
Asa ameshinda kombe gani katika makombe yote alyokuwa anawania this season????
Wacha uongo mlikaa miaka mingapi bila kushinda kabla Romano hajaingia? Je, wakumbuka yule refa mliyetaka kumuua baada ya kupoteza mechi?
"I am not a person to stay at a club three or four years without winning a single trophy."
"When that time comes, I wil not wait for Chelsea to tell me ......"
Yani we Kamba sn! Unaleta habari ZA mageziti ya udaku?
Khe Khe Khe Khe Siku tuliyokufunga pale kwako ulipotea wiki nzima!
ingekuwa inaniuma sana, kama club yangu ingekuwa na Mafanikio kiduchu namna hyo, kulingana na BOSS wangu anavyomwaga HELA!
Mosdef unadanganya umma...!
hiyo ni ajenda mpya sasa!
mwanzoni mlisema hatuna kikosi cha kuwafungeni pale ANFIELD. alaf baada ya kuwaziba mdomo; ikawaje?
kigeugeu Mosdef.