Ntuzu,Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Jose but siku hizi ameanza kunidissapoint sana.Jose ni kocha ambae akienda kwenye timu msimu wa kwanza anachukua ubingwa huwa hana muda wa kujenga timu na anaweza kuwajenga players kisaikolojia wakapambana kwa ajili ya timu.Wachezaji wengi wanamsifia kwa hiloWakuu the magnificent RRONDO Piere. Fm Mr. Wise
Ebu Km mnataka muwe Fair basi hiyo Hali ya kutokumpenda Jose muiweke pembeni na tuseme ukweli!
Naona wengine mnazungumzia aina ya mpira ambao Jose anafundisha na wengine mnasema kwamba Jose hakua chaguo la Abramovic kitu ambacho si kweli!
Nafikiri kiasi mmeona chanzo cha Hazard na Jose kupishana ni Hazard mwenyewe!
Tuwe wakweli tusiongee tu kwa kua wengine hawampendi Jose!
Ebu Angelia Guadiola anavyochemka na yeye kwa Munich?
Angalia Yule Wa Fc Barcelona?
D Moyes? Wenger?
Kuna mambo mengi unaweza ukaona kwa Hawa wote
Ntuzu,Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Jose but siku hizi ameanza kunidissapoint sana.Jose ni kocha ambae akienda kwenye timu msimu wa kwanza anachukua ubingwa huwa hana muda wa kujenga timu na anaweza kuwajenga players kisaikolojia wakapambana kwa ajili ya timu.Wachezaji wengi wanamsifia kwa hilo
Tatizo lake kubwa ni kupenda kuwafurahisha watu wa media bila kuangalia impact yake kwenye timu alivyoenda Madrid aligombana na wengi kuanzia Valdano,Zizou,Pepe,Ramos,Ozil na wengineo hii ikasababisha timu ikawa inachemsha.Msimu wake wa mwisho Madrid alisema ndio msimu mbaya tangu aanze kufundisha naona msimu huu amechemsha sana
Msimu huu tena anaanza kuivuruga timu kupitia kwenye media hizi issue angekaa kimya akawaadhibu wachezaji kimya kimya.Last season Benitez alipewa timu mashabiki walimzomea kuanzia mwanzo hadi anaondoka but alipata mafanikio kuliko Jose msimu huu licha ya kufanya kazi kwenye mazingira magumu,kumbuka Jose kawanunua Etoo,Salah,Matic,Willian,Schurle pia alikuwa na Mata na Lukaku.Ngoja tuone msimu ujao atakuja vipi
Jose sio wa kumlinganisha kabisa na Moyes,Wenger au Martimo
[FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif]Kelele nyingi hizi zinatokana na matokeo haya msimu huu:
Chelsea vs Man United: 3 - 0
Chelsea vs Man city: 1 - 0
Chelsea vs Liverpool: 2 - 0
Chelsea vs Arsenal: 6 - 0[/FONT]
Wakuu the magnificent RRONDO Piere. Fm Mr. Wise
Ebu Km mnataka muwe Fair basi hiyo Hali ya kutokumpenda Jose muiweke pembeni na tuseme ukweli!
Naona wengine mnazungumzia aina ya mpira ambao Jose anafundisha na wengine mnasema kwamba Jose hakua chaguo la Abramovic kitu ambacho si kweli!
Nafikiri kiasi mmeona chanzo cha Hazard na Jose kupishana ni Hazard mwenyewe!
Tuwe wakweli tusiongee tu kwa kua wengine hawampendi Jose!
Ebu Angelia Guadiola anavyochemka na yeye kwa Munich?
Angalia Yule Wa Fc Barcelona?
D Moyes? Wenger?
Kuna mambo mengi unaweza ukaona kwa Hawa wote
Then mwisho wa League May 11 utakuwa wa 3!Kushinda EPL title inahitaji uzifunge hata team ndogo kama Sunderland na Crystal Palace
Mkuu siyo kwamba watu hatumpendi Mourinho but nawe pia unapaswa kuwa fair huwezi ukasema Hazard hajitumi wakati ndiyo mchezaji ambaye kakufungia magoli mengi msimu huu, na kama haitoshi FA na wadau wengine wamemuona na kutambua kuwa yeye ndiye mchezaji bora wa msimu kwa wachezaji wadogo na hakuna aliyelalamika kuwa tuzo kapendelewa.
Hebu niambie kweli Hazard hajitumi? Ni katika mechi ngapi jamaa kaikoa timu halafu leo useme kuwa hajitumi.
im sure he will try to change lets wait and see wachezaji atakaowanunua ashaanza na diego tayari.Na ni hakika Mourinho hawezi kubadilisha mpira wake na akitokea kubadili ina maana akubali kufungwa mara kwa mara na hii ni kwasababu mech karibia zote ambazo Mourinho kafungwa ni baada ya yeye kufunguka kucheza mpira uwanja mzima wakati wote so kwa mising hiyo sidhani kama Mourinho anaweza kukubali kufungwa mara kwa mara na niwaz kuwa kupark basi kutaendelea chini ya Mourinho na ni kitu ambacho Roman hapendi na kumbuka pia moja kati ya vitu vilivyofanya Mourinho aondoke kipindi kile ni kutocheza mpira wa kuvutia kitu ambacho Don hakitaki.
Labda mama mbadilishe style na kuanza kucheza mpira na sio kulipaki bus.Wenye roho za kutu na Chelsea leo mmefurahi wenyewe. Tuna msiba humu leo next time tutafika fainali na kuchukua kombe kabisa.
Sasa kama timu haishambulii na mpaka Hazard amenuna, ukimleta Diego Costa unataka acheze kama beki ama defensive mid?im sure he will try to change lets wait and see wachezaji atakaowanunua ashaanza na diego tayari.
Thank you Atletico Madrid for teaching "The Special one" how soccer is played.
Angalau tutalala usingizi sasa
Alafu mnatusema wa LFC hehehehe watakuwa wanatizama game subiri dk 90 nawapa Hilo hawawezi kutizama game na hapa ila Kalou na agosti 8 sijawaona toka jumatano.
Humu game inacheza umebaki wewe tu umekuwa Kama Nzi ndomana Nzi nampa heshima yake na yeye anabaki sababu ni Charles hilal wa rumu anatangaza mpira.