Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Pakini basi lenu na leo!!!
Team inacheza mpira m-bovu, eti iingie fainali..mpira usingekuwa fair kabisa!!!!!
Masikini wangejua wangejipakia tu BASI LAO wafike hata matuta kubahatisha
Pakini basi lenu na leo!!!
Team inacheza mpira m-bovu, eti iingie fainali..mpira usingekuwa fair kabisa!!!!!
khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe yaani nacheka peke yangu kama LUNATIC
Wenye roho za kutu na Chelsea leo mmefurahi wenyewe. Tuna msiba humu leo next time tutafika fainali na kuchukua kombe kabisa.
ngoja tuwaumize kesho kutwa tuingie FINAL LISBON alaf tuone watasemaje.:smile-big:
jitihada haizidi uwezo mlistahili kufungwa.