Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

eti hawa jamaa kumfunga Sunderland nyumbani hawawezi ila wanajihakikishia kumfunga ATM kweli kipenda roho hula nyama mbichi

cc😡Ntuzu agosti 8

Kz ya Mike Dean ilikua tosha kuirinda Sunderland!
 
Last edited by a moderator:
vivpi utakuwa unaweka live updates au utakuwa uko glued on tv?

Nilikuwepo nipo na nitakuwepo!

Updates lazima Hili ni jukwaa langu!

Khe Khe Khe Khe

Hakuna hofu tuko Madrid tayari huku Jose akiwa na rekodi nzuri dhidi ya Simieon!
Khe Khe Khe
 
MUDA WANGU WA KUTAMBA KWENYE HILI JUKWAAA UNAZIDI KUKARIBIA...HAHAHAAAA, tehe teheheeee!!! agosti 8 , Ntuzu , Mourinho , kalou
Juzi kuna people zilikimbia hapa

Mkuu ahsante kwa kunimention once again kwenye jukwaa la the blues
Ila nadhani ambacho hujui ni kuwa Mourinho huyu wa JF ni mwana Bianconeri through and through, huku huwa napita tu na mara chache sana kuona comments zangu

Kule kwetu Italia, team tunazotoka nazo kwenye ligi moja Serie A, zikiwa Ulaya huwa tunapeana tafu, ila huku kwenu naona mila zenu ni kuombeana mabaya tu
 
Duh samahani sana mkuu...mi sikulitambua hilo, manake hiyo ID nikajua 100% ni mwana Blues....so sorry sitakumention tena, ngoja niendelee kubanana na hawa #TeamMburukenge ....
Vp shwari lakini?
 
Shwari bila shari Mkuu, nasubiria mtanange wa leo ila sidhani kama kutakua na mpira mzuri saana kwa sababu hizi team zote ni team za kujaza watu kwenye dimba la chini na kushambulia kwa kushtukiza
 
huyo Mike Dean alikuwa upande mmoja tu Ntuzu!? Acha lawama za ajabu bhana we kubali ulibanduliwa baaaasi.

Mkuu Naona mapema umeshatia timu!

Karibu sn! Dean hachomoki ktk lawama!
 
Last edited by a moderator:
Shwari bila shari Mkuu, nasubiria mtanange wa leo ila sidhani kama kutakua na mpira mzuri saana kwa sababu hizi team zote ni team za kujaza watu kwenye dimba la chini na kushambulia kwa kushtukiza

Karibu sn ktk thread yetu baba Mourinho!

Mpira utakua mzuri tu kwasababu ATM wanacheza 4-4-2 na Sisi tunacheza 4-2-3-1
 
That's on paper Ntuzu, wakiwa uwanjani hizo formations zote hugeuka na kuwa 4-5-1 tena kwa Chelsea ni 5-4-1 kwa sababu Luiz huwa anakua beki wa tano
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Naona mapema umeshatia timu!

Karibu sn! Dean hachomoki ktk lawama!

lawama kwa Mike Dean ni katika pande zote mbili na siyo 1 tu.
By the way leo turejee Vicente Calderon na natarajia updates toka kwako na siyo kukimbilia darini.
 
That's on paper Ntuzu, wakiwa uwanjani hizo formations zote hugeuka na kuwa 4-5-1 tena kwa Chelsea ni 5-4-1 kwa sababu Luiz huwa anakua beki wa tano

Nafahamu Mkuu Lkn inabadilika kutikana na game ilivyo! Km tumezediwa inakua ndo 5-4-1 Lkn km tumewazidia inakua 2-4-4

Kwahiyo hapo utaona uzuri Wa huo mfumo!
 
Last edited by a moderator:
lawama kwa Mike Dean ni katika pande zote mbili na siyo 1 tu.
By the way leo turejee Vicente Calderon na natarajia updates toka kwako na siyo kukimbilia darini.

Mkuu nshapata zana za maangamizi aka #AtomicBomb , inafurukunyua kila angle....ngpja mida yetu ile ifike kwanza
 
lawama kwa Mike Dean ni katika pande zote mbili na siyo 1 tu.
By the way leo turejee Vicente Calderon na natarajia updates toka kwako na siyo kukimbilia darini.

Khe Khe Khe Khe

Mkuu mi nipo! Na nitakuwepo! Wala usijali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom