jibu swali langu mkuu,bado hujanijibu! Hayo ya abromoney sijakuuliza ndugu.
je hapo kwenye red siyo jazba?
jibu swali langu mkuu,bado hujanijibu! Hayo ya abromoney sijakuuliza ndugu.
Wala Hana jazba ila nyie mnazungumza kitu si kweli! Kwasababu anelewa Vzr mpira Kwahiyo Hizo hoja zenu hazimsumbui!
Jukwaa la watu,
Watu wenyewe ndio sisi na tutaendelea kukueleza ukweli.Kama ulianzisha hili jukwaa mwambie mod atupige ban,othewise kama kuna msiba hapa lazima tuje kutoa pole
Teh Teh Teh Teh
Naona Leo ndugu yng agosti 8 karudi Vzr kweli! Mtu mmoja sawa na watu8 Haya si maneno yng ni maneno ya shabiki Wa timu ilichoka iliyo nafasi ya 7 iliyofungwa na timu aliyokua akifundisha kocha zamani! Teh Teh Teh Teh RRONDO pole sn! Yani nyie ile Hali iliyokumta liver kukosa ubingwa kwa Zaidi ya miaka 20 basi kwenu itakua mara 3 Zaidi mpk 2090 Ndio mtachukua EPL sijui RRONDO utakuwepo na Belo ??
Khe Khe khe
Khe Khe Khe Khe
Matinez Jana kakupiga ngapi Mkuu?
Yani ile thread yenu imekosa mvuto kabisa ata thread za kule MMU ziko pouwa kabisa!
Mkuu Nzi Ndio analisongesha kila siku Lkn km Wewe ulishakula kona siku nyingi!
Timu bora lazima iwe na sababu ya Ushindi na kupoteza!
Sisi timu imejengwa kiushindi na si kupoteza!
Khe Khe Khe Khe Khe
Haaa mkuu taratibu tunaongelea soka tu, punguza jazba kidogo!!Kwani kuna sheria za JF zinazokataa kujadili jambo thread ya watu???Ama wewe mkuu huwa uingiii kwenye Thread za timu nyingine kuongea???Nisamehe kama nimekukera
Jukwaa la watu,
Watu wenyewe ndio sisi na tutaendelea kukueleza ukweli.Kama ulianzisha hili jukwaa mwambie mod atupige ban,othewise kama kuna msiba hapa lazima tuje kutoa pole
poleni sana epl ya sasa ni wengine yenu mwakani..
Agost 8 na ntuzu mpo..?ni mda sasa atujawasiliana..?kwema lakini.
Dah! Kazi kubwa. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee nawachubiri wenye timu wapige jezi. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ulipojiita "Mr.Wise" nilitegemea kwamba utakuwa na 'wisdom' kama jina lako. Simaanishi kwamba huna 'wisdom' my argument ni kwamba usipende sana kusubiri matokeo ndo uje hapa jamvini kubishana. Sisi tunajipanga na mechi yetu ya kesho.
Uwe unakuja kupongeza pia si kubishana tu.🙂
kuhusu mechi yetu vs Paka Weusi 'sunderland' kuna watu wamedanganya uma na kusema kwamba 'mapaka' walishambulia; eti sisi CFC tulikuwa tunakaba:
FACTS:
Chelsea had 31 attempts on goal compared to seven for the visitors.
Fifteen of our efforts were on target. By contast, three of Sunderland's hit the target, resulting in two goals.
Sixteen of our attempts came from inside the penalty area, with 15 coming from outside the box.
Branislav Ivanovic was the only player to rattle the woodwork during the game, the Serbian seeing a header in the first half pushed on to the bar by Vita Mannone.
The Blues dominated possession for much of the game, enjoying a 62.7 per cent share of the ball, compared to 37.3 per cent for Gustavo Poyet's side.
When it came to corners we were also on top, forcing 10 over the course of the game, one of which led to the opening goal, scored by Samuel Eto'o after 12 minutes.
Sunderland were forced to defend resolutely for large parts of the match and they made eight blocks to thwart Jose Mourinho's side.
Of the aerial duels during the game, both teams won 20 of the 40 contests.
We enjoyed an 82 per cent pass completion rate.
Aaah!!u are very wrong mkuu, wapi nilipobishana sasa!mi si mbishanaji bana, mi huwa namwambia hata ndugu yangu Ntunzu kua mimi ungoja 90mins ziamue na si maneno yangu. Ulichonistua kuongea swala la kusema kwanini tunajadili kwenye Thread yenu. Hapo ndio maana nikakuuliza Je huwa utoki kwenda ku discuss thread za watu???
SO jipongezeni sana aisee mpira kweli mlicheza!! Refa tu ndo alizingua, sijui kwann inakuwa hivi yaani, manake dakika ya mwisho tumeona matokeo tofauti na uhalisia tulivyotegemea. Ningemjua huyo mpotoshaji ningemwagia tindikali.
SO jipongezeni sana aisee mpira kweli mlicheza!! Refa tu ndo alizingua, sijui kwann inakuwa hivi yaani, manake dakika ya mwisho tumeona matokeo tofauti na uhalisia tulivyotegemea. Ningemjua huyo mpotoshaji ningemwagia tindikali.
kina nani?🙂
HA HA HA HA
Mkuu una utani kama wa HULL CITY wememvunja jina kiungo mkabaji; Arteta sasa itabidi mumpeleke kwa dokta akaweke jino feki.
Refa hakufanya kitu yaani .. jamaa kapoteza jino hivi hivi..🙂