Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

keep on talking wewe ndo unaleta hizo la la la la la kwa sababu unakuja jukwaa la watu unaanza maneno ningekuwa nimeingia kwenu ungekuwa na haki ya kushangaa.. this is our thread!

Haaa mkuu taratibu tunaongelea soka tu, punguza jazba kidogo!!Kwani kuna sheria za JF zinazokataa kujadili jambo thread ya watu???Ama wewe mkuu huwa uingiii kwenye Thread za timu nyingine kuongea???Nisamehe kama nimekukera
 
Jukwaa la watu,
Watu wenyewe ndio sisi na tutaendelea kukueleza ukweli.Kama ulianzisha hili jukwaa mwambie mod atupige ban,othewise kama kuna msiba hapa lazima tuje kutoa pole
 
Teh Teh Teh Teh

Naona Leo ndugu yng agosti 8 karudi Vzr kweli! Mtu mmoja sawa na watu8 Haya si maneno yng ni maneno ya shabiki Wa timu ilichoka iliyo nafasi ya 7 iliyofungwa na timu aliyokua akifundisha kocha zamani! Teh Teh Teh Teh RRONDO pole sn! Yani nyie ile Hali iliyokumta liver kukosa ubingwa kwa Zaidi ya miaka 20 basi kwenu itakua mara 3 Zaidi mpk 2090 Ndio mtachukua EPL sijui RRONDO utakuwepo na Belo ??

Khe Khe khe
 
Last edited by a moderator:

Khe Khe Khe Khe

Matinez Jana kakupiga ngapi Mkuu?

Yani ile thread yenu imekosa mvuto kabisa ata thread za kule MMU ziko pouwa kabisa!

Mkuu Nzi Ndio analisongesha kila siku Lkn km Wewe ulishakula kona siku nyingi!

Timu bora lazima iwe na sababu ya Ushindi na kupoteza!

Sisi timu imejengwa kiushindi na si kupoteza!

Khe Khe Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
Haaa mkuu taratibu tunaongelea soka tu, punguza jazba kidogo!!Kwani kuna sheria za JF zinazokataa kujadili jambo thread ya watu???Ama wewe mkuu huwa uingiii kwenye Thread za timu nyingine kuongea???Nisamehe kama nimekukera

Jana mlichemka wenyewe! Leo mmerudi tena?

Khe Khe Khe Khe

Kweli imekua gumzo!
 
Hahahaaa agosti 8 kawa mkali kama mbogo...sijui kwanini, Ntuzu nae yupo hoi kelele za ubingwa mfukoni...aisee this is crazy moment of football.
Poleni sana wadau wangu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa agosti 8 kawa mkali kama mbogo...sijui kwanini, Ntuzu nae yupo hoi kelele za ubingwa mfukoni...aisee this is crazy moment of football.
Poleni sana wadau wangu

Mzee Wa Arsesix umeibuka? Khe Khe Khe Khe Khe

Karibu sn lete habari Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Naona Leo ndugu yng agosti 8 karudi Vzr kweli! Mtu mmoja sawa na watu8 Haya si maneno yng ni maneno ya shabiki Wa timu ilichoka iliyo nafasi ya 7 iliyofungwa na timu aliyokua akifundisha kocha zamani! Teh Teh Teh Teh RRONDO pole sn! Yani nyie ile Hali iliyokumta liver kukosa ubingwa kwa Zaidi ya miaka 20 basi kwenu itakua mara 3 Zaidi mpk 2090 Ndio mtachukua EPL sijui RRONDO utakuwepo na Belo ??

Khe Khe khe
FYI,
Chelsea walikaa miaka 50 wakiwa wasindikizaji
 
Last edited by a moderator:
Khe Khe Khe Khe

Matinez Jana kakupiga ngapi Mkuu?

Yani ile thread yenu imekosa mvuto kabisa ata thread za kule MMU ziko pouwa kabisa!

Mkuu Nzi Ndio analisongesha kila siku Lkn km Wewe ulishakula kona siku nyingi!

Timu bora lazima iwe na sababu ya Ushindi na kupoteza!

Sisi timu imejengwa kiushindi na si kupoteza!

Khe Khe Khe Khe Khe

Nipo jukwaani almost kila siku,kila ukifungwa unajipa ban so huwezi kuniona
 
Last edited by a moderator:
Mzee Wa Arsesix umeibuka? Khe Khe Khe Khe Khe

Karibu sn lete habari Mkuu!

Nipo mkuu naona mmekuwa wapole na kauli zenye heshima tofauti na pale mwanzo....ndugu yangu agosti 8 nae anajibu kila post kwa jazba, sijui imekuaje hapa leo!! Manake tulishawapa pole tangia juzi, ila jamaa kajipanga vizuri na katokelezea leo. Ligi bado ngumu sana. Otherwise isiwepo team ya kuipa STOP LIVERFOOL...Bt I biliv challenges zinakuja kwa hizo mechi 3 zilizobakia.
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Naona Leo ndugu yng agosti 8 karudi Vzr kweli! Mtu mmoja sawa na watu8 Haya si maneno yng ni maneno ya shabiki Wa timu ilichoka iliyo nafasi ya 7 iliyofungwa na timu aliyokua akifundisha kocha zamani! Teh Teh Teh Teh RRONDO pole sn! Yani nyie ile Hali iliyokumta liver kukosa ubingwa kwa Zaidi ya miaka 20 basi kwenu itakua mara 3 Zaidi mpk 2090 Ndio mtachukua EPL sijui RRONDO utakuwepo na Belo ??

Khe Khe khe

naomba unikumbushe kitu mkuu,b4 abromoney era,ulikaa bila ubingwa wa ligi kwa miaka mingapi? Hilo tu.
 
Last edited by a moderator:
Wala Hana jazba ila nyie mnazungumza kitu si kweli! Kwasababu anelewa Vzr mpira Kwahiyo Hizo hoja zenu hazimsumbui!

Nipo mkuu naona mmekuwa wapole na kauli zenye heshima tofauti na pale mwanzo....ndugu yangu agosti 8 nae anajibu kila post kwa jazba, sijui imekuaje hapa leo!! Manake tulishawapa pole tangia juzi, ila jamaa kajipanga vizuri na katokelezea leo. Ligi bado ngumu sana. Otherwise isiwepo team ya kuipa STOP LIVERFOOL...Bt I biliv challenges zinakuja kwa hizo mechi 3 zilizobakia.
 
Last edited by a moderator:
naomba unikumbushe kitu mkuu,b4 abromoney era,ulikaa bila ubingwa wa ligi kwa miaka mingapi? Hilo tu.

Khe Khe Khe Khe

This is new ERA. chezea ABROMONEY WEYE?!?!

Khe Khe Khe Khe

Bila FITINA za Akina Mike Dean utaizuia Chelsea with ABROMONEY?

jibu swali langu mkuu,bado hujanijibu! Hayo ya abromoney sijakuuliza ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom