AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Umesahau kuwa Ramirez nae alistahili red card lakini refa huyo huyo akaiminyiaYAYA alipolalamika juzi kuhusu kubaguliwa watu wakacheka; ligi yao bingwa wanampa wamtakae..
Huwezi kuelewa;..kwa sababu refa alikuwa mbali sana na tukio; anaweza kuwa na uhakika kuhusu penati?
Sheria inasemaje kama refa hakuona?
Goli la kwanza; 're-bound' iliwakuta wachezaji wa Sunderland wakiwa off lakini kama kawaida; utata ukatawala.
Mechi ya Sunderland na mechi ya Villa ziligubikwa na utata wa hali ya juu. Hii inanikumbusha mechi ya 3-2 wakati Chicharito alipofunga goli akiwa off-side.
Refa wa mechi ile 'Mark Catternburg akaishia kumwambia 'Mikel Obi' nyani.
Ubaya na marefa ni kwmba 'wao hawahojiwi kutokana na uamuzi wao uwanjani.
Kule Italia mambo hayo yameharibu kabisa ligi ile..'match fixing'