Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu Sizinga Katavi Nzi Mbu Belo Mr. Wise RRONDO MosDef Gwamahala na fans wote Wa soccer mlionitafuta Mimi nipo Wakuu! Haya ni mambo ya kawaida siwezi kimbia kwasababu timu yetu tumepitia changamoto nyingi sn!

namsubiri agosti 8 ndio nikalale......mmefunga timu zote za top 4 lakini ubingwa hampati.....mnakamia mechi kubwa zikija timu ndogo mnatumia uwezo wenu halisi ambao ni average,mnaishia kuchapwa!!!!
unamfunga arsenal 6 mechi inayofuata unafungwa na crystal palace....unaifunga timu pungufu kwa shida sana.....hamna consistency halafu unajitangazia ubingwa kabla mpira haujachezwa!!!
 
Last edited by a moderator:

Hujuma zote hiizo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu we ni pm tu!

Mbona unaongea kwa upole leo? Kunani?

Umesema nini? Moureen alisahau kuvaa "kufuli"?
Ehee! Wafamaji wakamfanya nini?.......Eee bana we!
Kwa hiyo ametangazwa rasmi kuwa "BINGWA"?
 
Mimi tena niongee kwa upole? Au umenisahau?
 
Oongea basi Mkuu Ntuzu.

Inakuwaje Chelsea inafungwa na timu mkia wa mbuzi?

CP alianza..nini ilikuwa kisingizio?
Leo Sunderland timu iliyo katika nafasi ya 20 imeiadhiri Chelsea nyumbani kabisa. Kisingizio ni nini?
Je bado ipo nafasi ya kuwa bingwa?
 
Mkuu mwamuzi hakua pouwa! Alafu nahisi km kuna hujuma vile hasa kwa kuiandalia mazingira ya ubingwa Liverpool kutokana na Kua hiyo ni timu ya waingereza wengi wanayoipenda!

Tutegemee kuona Liverpool anapewa penalty nyingi tu ktk game zilizobaki! Au kwa timu zitakazokutana na Liverpool wataweza kupewa ata Kadi nyekundu ili Lfc mazingira yawe laini kabisa!
 
Ntuzu
Kwanza ligi ya safari hii ni ngumu, pili refa hakuwa mbaya kama unavyotaka kusema kwani alikuwa na uwezo wa kumtowa Ramires lakini aliminya na sijuwi ataandika nini kwenye repoti yake vyenginevyo akisema hakuiona basi FA watamfungia Ramires,
Tatu na muhimu unasema hukuiona gemu ya leo vipi unafanya conclusion ya refa wakati hukuiona gemu au ulisikilza radio?
NNe Jose anaweza kufungiwa kutokana na matamshi aliyotowa baada ya gemu
Muhimu wewe kubali gemu haikuwa yenu kubali kushindwa ingawa hutokosa sababu
Mkuu mwamuzi hakua pouwa! Alafu nahisi km kuna hujuma vile hasa kwa kuiandalia mazingira ya ubingwa Liverpool kutokana na Kua hiyo ni timu ya waingereza wengi wanayoipenda!

Tutegemee kuona Liverpool anapewa penalty nyingi tu ktk game zilizobaki! Au kwa timu zitakazokutana na Liverpool wataweza kupewa ata Kadi nyekundu ili Lfc mazingira yawe laini kabisa!
 
Mkuu mwamuzi hakua pouwa! Alafu nahisi km kuna hujuma vile hasa kwa kuiandalia mazingira ya ubingwa Liverpool kutokana na Kua hiyo ni timu ya waingereza wengi wanayoipenda!
Tutegemee kuona Liverpool anapewa penalty nyingi tu ktk game zilizobaki! Au kwa timu zitakazokutana na Liverpool wataweza kupewa ata Kadi nyekundu ili Lfc mazingira yawe laini kabisa!
Mlicheza na Arsenal na Swansea na wachezaji wa timu hizo walipewa kadi nyekundu. Chelsea 11 walicheza na na mutu 10.Je waamuzi wa mechi hizi walikuwa pouwa? Ulifurahia matokeo ya mechi hizi au ulizima vuvuzela baada ya mechi hizi?

Kwa hiyo tayari una matokeo ya mechi baina ya Chelsea na Liverpool tayari? Liverpool watashinda kwa mabao ngapi?
Redcards ngapi zitatoka siku hiyo?

Unaelewa kuwa Liverpool haikutegemewa kabisa kuwa anaweza kutwaa ubingwa mwaka huu?. LP ilikuwa inapigania kucheza EU Champions legue tu, walikuwa wanapigania kumaliza top 4. Sasa wanaamini wanaweza kuukwaa ubingwa.
 
Referee amekuwa Man of the match, ndo maana Mourinho amewasifia woote kwamba wamechezesha vizuri sana, ila msimu huu hautaisha hivihivi bila kikombe
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Wakuu nimerudi baada ya Kua na Majukumu ktk ibada ya uzinduzi Wa Morning star Tv!

Sikupata ata ile nafasi ya kuutizama mpira! Ila nimeweza kusoma habari ktk wavuti ya Chelsea na pia hoja mbalimbali za wadau!

Anyway mmenitafuta sn Lkn Mimi nipo na Ndio nimelog in muda so mrefu!

Teh Teh Teh kwakifupi Refa Ndio kaharibu game ya Leo na pia kwa kesho tutegemee Lfc kupewa Penalty ashinde kilaini na hii inaweza ikafanyika ktk game zote za Lfc! Hizi ni hujuma za waingereza ktk timu yetu!

Acha kuwa kama kocha wako wewe....katika mzunguko wa kwanza Liverpool alilalamika sana kuhusu marefa ila watu wakasema liverpool wanalia sana....kama unakumbukumbu nzuri Man City vs Liverpool pale ETIHAD Steling alifunga goli safi sana lakini ref. Alikataa na kudai ni Offside. Na tulipokwenda Bridge mambo nayo yakawa vilevile eto alimpiga rafu ya makusudi kabisa Suarez ndani ya box ila ref. Akavunga...Kwa hiyo tulieni kimya na mcheze mpira acheni excuses za marefa.
 
Mkuu mwamuzi hakua pouwa! Alafu nahisi km kuna hujuma vile hasa kwa kuiandalia mazingira ya ubingwa Liverpool kutokana na Kua hiyo ni timu ya waingereza wengi wanayoipenda!

Tutegemee kuona Liverpool anapewa penalty nyingi tu ktk game zilizobaki! Au kwa timu zitakazokutana na Liverpool wataweza kupewa ata Kadi nyekundu ili Lfc mazingira yawe laini kabisa!

Teh Teh Teh Teh Teh Teh!!!!!

Ntuzu hayo ni maneno yako kweli????

Na kuhusu RAMIREZ vipi??, mbona Refa aliuchuna Tu..???

Teh Teh Teh Teh Teh!!!!!

unalalamika nn wakat team yako week iliyopita tu ilipata matokeo kwa tabu dhidi ya 10 men wa Swansea, na mlicheza mpira M-bovu...!!!!!?

Dah!!!!!
 
Mkuu mwamuzi hakua pouwa! Alafu nahisi km kuna hujuma vile hasa kwa kuiandalia mazingira ya ubingwa Liverpool kutokana na Kua hiyo ni timu ya waingereza wengi wanayoipenda!

Tutegemee kuona Liverpool anapewa penalty nyingi tu ktk game zilizobaki! Au kwa timu zitakazokutana na Liverpool wataweza kupewa ata Kadi nyekundu ili Lfc mazingira yawe laini kabisa!

Kwani Chelsea alikua anacheza na liverpool?

Kwanini usiseme Sunderland anaandaliwa mazingira ya kubaki ligi kuu?

Tufanye ile sio penati sasa matokeo itakua 1-1 ndo mnalilia droo?

Arsenal mlifunga magoli mengi sana punguzeni muongezee hapo:-D
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Wakuu nimerudi baada ya Kua na Majukumu ktk ibada ya uzinduzi Wa Morning star Tv!

Sikupata ata ile nafasi ya kuutizama mpira! Ila nimeweza kusoma habari ktk wavuti ya Chelsea na pia hoja mbalimbali za wadau!

Anyway mmenitafuta sn Lkn Mimi nipo na Ndio nimelog in muda so mrefu!

Teh Teh Teh kwakifupi Refa Ndio kaharibu game ya Leo na pia kwa kesho tutegemee Lfc kupewa Penalty ashinde kilaini na hii inaweza ikafanyika ktk game zote za Lfc! Hizi ni hujuma za waingereza ktk timu yetu!

kwani Chelsea ipo nchi gani????
 
Mkuu mwamuzi hakua pouwa! Alafu nahisi km kuna hujuma vile hasa kwa kuiandalia mazingira ya ubingwa Liverpool kutokana na Kua hiyo ni timu ya waingereza wengi wanayoipenda!

Tutegemee kuona Liverpool anapewa penalty nyingi tu ktk game zilizobaki! Au kwa timu zitakazokutana na Liverpool wataweza kupewa ata Kadi nyekundu ili Lfc mazingira yawe laini kabisa!

mimi nilijua ni man utd tu ndio huwa 'inabebwa' kumbe hata liverpool...kazi ipo!!! like father like son...like Ntuzu like Mourinho
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom