Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Uyo jamaa enu na quality yake aliachwa World cup wakaenda kina Kunya
Romario kwenye ubora wake hakuitwa team ya Taifa ingawa alikuwa na uwezo mkubwa kuliko wale walikuwa kwenye nafasi yake so hiyo ni Kawaida kama Madueke anaitwa kwenye team ya Taifa unashangaa Nini Joao Pedro kutoitwa
 
romario hakuitwa kwa ajili ya ronaldinho na watu wakarudi na kombe la dunia usiongee ongee tu
 
1788547445556.png
 
Nyie hamna hata timu ya top 4.....
Mkibahatika kuipata hiyo top 4 ni bonus...... kwa kiungo kipi? Lavia na James ama Caisedo?

Beki kule uchochoro !!!!

Tupo hapa, mwisho wa msimu tutakuja kuwakumbusha !!!! December inaweza isimkute Alonso darajani hapo !

Hivi baada ya Enzo kusajiliwa city alisemaje ? Anafurahia kujiunga na timu kubwa sio
 
Mtu anaeconment akiumia utamjua tu 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom