Hakuna mtu asiyejua ubora wa Colwil na Hato Kuna kitu wewe unashindwa kuelewa Alonso bado mfumo wake haujaclick kwa wachezaji ndio maana makosa kama hayo lazima uyaone mfano mzuri pale Arsenal ukitoa Rice na Raya labda na Saliba wachezaji wengi ni wa kawaida ila kinachowabeba ni mfumo wa Arteta umeclick wa wachezaji ndio inayofanya wapate mafanikio ukiwatoa wachezaji wengi wa Arsenal ukawapeleka team nyingine kubwa namba hawapati umemuona yule beki wao Gabriel alivyokuwa na Brazil alivyokuwa anageuzwageuzwa ovyo ovyo lakini akiwa Arsenal ni tofauti kwa sababu mfumo wa Arteta ni shirikishi kila mchezaji anakaba na kumnyima space mpinzani kitu ambacho inakuwa ngumu kufikiwa mara kwa mara ndicho ambacho sisi tumekosa ndio maana Xabi Alonso akasema tukifika December tutakuwa na team Bora tuamini process mwamba kama point 3 tunapata.