Maana yake hapo ni mpaka Kipa mmoja atolewe asipotolewa hawamsajiliDeal lipo on mzee huyu tunabeba
Maana yake hapo ni mpaka Kipa mmoja atolewe asipotolewa hawamsajiliDeal lipo on mzee huyu tunabeba
Hili ni Alonso mwenyewe ndiye anataka, itashindikana tu kama Emiliano atakuwa na matatizo ya kiafyaIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanyia usajili mapema
Jamaa sijui wamewezaje kukamilisha dili la Delap kwa hiyo helaNicolas Jackson na Liam Delap hatunaye tena, wale wapenzi wa hao wachezaji basi tena nyamazeni kabisa maisha sasa ni kwa Joao Pedro na Emanuel Emegha wakitiwa moyo na Danny Welback
View attachment 3658283View attachment 3658284
Ni kweli kuna taarifa zingine zinadai bado Chelsea hawajafanya maamuzi na kikwazo kikubwa ni hadi wapate ufumbuzi wa Robert Sanchez. Ikipatikana timu ambayo itamtaka hata kwa mkopo wanaweza kumchukua Emiliano MartinezIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanya usajili mapema,
Kweli uchawi upo? mpk Delap nae kapata timu, bado mjomba Tosin na pia Gittens hamna mchezaji muleNicolas Jackson na Liam Delap hatunaye tena, wale wapenzi wa hao wachezaji basi tena nyamazeni kabisa maisha sasa ni kwa Joao Pedro na Emanuel Emegha wakitiwa moyo na Danny Welback
View attachment 3658283View attachment 3658284
Tayari hukoIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanya usajili mapema
Mkataba wa miaka miwili sio mbaya kabisa. Na pauni milioni 7.5 ni dili zuri pia. Hii haitaharibu kabisa njia ya Mike Penders kuelekea kuwa kipa namba moja.Tayari huko
Dibu Emiliano Martinez ni mchezaji wa Chelsea
Mkataba wa miaka miwili sio mbaya
Kwa pauni milioni 7.5 sio mbaya pia
View attachment 3658360
Wewe jamaa sijui kwanini humpendi GittensKweli uchawi upo? mpk Delap nae kapata timu, bado mjomba Tosin na pia Gittens hamna mchezaji mule
Sasa tupo tayari kwa ubingwa wa EPL na makorokoro yakeTayari huko
Dibu Emiliano Martinez ni mchezaji wa Chelsea
Mkataba wa miaka miwili sio mbaya
Kwa pauni milioni 7.5 sio mbaya pia
View attachment 3658360
Sababu ni Nini?Enzo Fernández alimuomba Xabi Alonso asicheze leo dhidi ta Luton
@CLMerlo
Xabi amesema baada ya mechi kuwa YEye na uongozi ndio walioamua Enzo Asicheze. Sababu ni asipatwe na majeruhi akatuvurugia dilim la milion 140. Lakini pia Enzo akili yake haiko tena Chelsea amekuwa kama Julian Alvarez wa Atletico Madrid.Sababu ni Nini?
kwann man city wanachelewesha mpunga wetu na wana hela nyingi sana hawa wantaka tufanye bishara deadline tukose mbadala?Xabi amesema baada ya mechi kuwa YEye na uongozi ndio walioamua Enzo Asicheze. Sababu ni asipatwe na majeruhi akatuvurugia dilim la milion 140. Lakini pia Enzo akili yake haiko tena Chelsea amekuwa kama Julian Alvarez wa Atletico Madrid.
Nimeona Chelsea wameanza mazungumzo na Monaco deal la kumchukua Lamine Camara kama replacement wa Enzo Fernandezkwann man city wanachelewesha mpunga wetu na wana hela nyingi sana hawa wantaka tufanye bishara deadline tukose mbadala?