Huyu jamaa mguuni yupoje?
Huyu jamaa mguuni yupoje?
Anaucheza vzr tuuHuyu jamaa mguuni yupoje?
Una Mchezaji gani ana kombe la Dunia?Kenge tafuteni kipa, uyo Martinez nae pazia kama mapazia mengine
Ila ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanya usajili mapemaEmiliano MartÃnez vs Robert Sánchez
MartÃnez anamzidi Sánchez kwenye karibu kila eneo la uchezaji wa kipa.
- Kuokoa mashuti (shot‑stopping): MartÃnez ni bora; Sánchez huwa hana uthabiti akibanwa na presha.
- Umakini (concentration): MartÃnez ana umakini wa juu, Sánchez hupoteza focus mara kwa mara.
- Makosa yanayosababisha mabao: MartÃnez ana rekodi nzuri zaidi ya Sánchez ambaye alifanya makosa 5 yaliyotoa mabao msimu mmoja tu 2024/25.
- Makosa yanayosababisha mashuti: MartÃnez hufanya mara chache sana; Sánchez aliongoza ligi 5 kubwa za Ulaya kwa makosa ya aina hii.
- Passing accuracy: MartÃnez 76%, Sánchez 69%.
- Udhibiti wa boksi la penalti: MartÃnez hutawala box na kudaka crosses kwa uhakika zaidi kuliko Sánchez.
- Uzoefu wa kimataifa: MartÃnez ana uzoefu wa mashindano makubwa ya kimataifa, Sánchez hana.
- Maamuzi (decision‑making): MartÃnez hufanya maamuzi sahihi na ya haraka; Sánchez husita na mara nyingi hutoa maamuzi ya hatari/ya kuyumba akiwa kwenye presha.
- Eneo pekee Sánchez anamzidi MartÃnez: pasi za mipira ndefu (long ball passing).
Deal lipo on mzee huyu tunabebaIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanyia usajili mapema
Maana yake hapo ni mpaka Kipa mmoja atolewe asipotolewa hawamsajiliDeal lipo on mzee huyu tunabeba
Hili ni Alonso mwenyewe ndiye anataka, itashindikana tu kama Emiliano atakuwa na matatizo ya kiafyaIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanyia usajili mapema
Jamaa sijui wamewezaje kukamilisha dili la Delap kwa hiyo helaNicolas Jackson na Liam Delap hatunaye tena, wale wapenzi wa hao wachezaji basi tena nyamazeni kabisa maisha sasa ni kwa Joao Pedro na Emanuel Emegha wakitiwa moyo na Danny Welback
View attachment 3658283View attachment 3658284
Ni kweli kuna taarifa zingine zinadai bado Chelsea hawajafanya maamuzi na kikwazo kikubwa ni hadi wapate ufumbuzi wa Robert Sanchez. Ikipatikana timu ambayo itamtaka hata kwa mkopo wanaweza kumchukua Emiliano MartinezIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanya usajili mapema,
Kweli uchawi upo? mpk Delap nae kapata timu, bado mjomba Tosin na pia Gittens hamna mchezaji muleNicolas Jackson na Liam Delap hatunaye tena, wale wapenzi wa hao wachezaji basi tena nyamazeni kabisa maisha sasa ni kwa Joao Pedro na Emanuel Emegha wakitiwa moyo na Danny Welback
View attachment 3658283View attachment 3658284
Tayari hukoIla ninawasiwasi hili dili linaweza lisitokee kama tulishindwa kumsajili yule kipa wa AC MILAN sidhani litatokea ni Kama vile management inalazimiahwa wangekuwa tayari kwenye hili wangefanya usajili mapema
Mkataba wa miaka miwili sio mbaya kabisa. Na pauni milioni 7.5 ni dili zuri pia. Hii haitaharibu kabisa njia ya Mike Penders kuelekea kuwa kipa namba moja.Tayari huko
Dibu Emiliano Martinez ni mchezaji wa Chelsea
Mkataba wa miaka miwili sio mbaya
Kwa pauni milioni 7.5 sio mbaya pia
View attachment 3658360
Wewe jamaa sijui kwanini humpendi GittensKweli uchawi upo? mpk Delap nae kapata timu, bado mjomba Tosin na pia Gittens hamna mchezaji mule
Sasa tupo tayari kwa ubingwa wa EPL na makorokoro yakeTayari huko
Dibu Emiliano Martinez ni mchezaji wa Chelsea
Mkataba wa miaka miwili sio mbaya
Kwa pauni milioni 7.5 sio mbaya pia
View attachment 3658360