Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

chelsea tutafute kipa kumbe emilano martinez yupo free hivi hii timu imerogwa??
 
Attachments

  • FB_IMG_1787643803498.jpg
    FB_IMG_1787643803498.jpg
    76 KB · Views: 5
Levi Colwill jana alicheza kama Tosin
Gusto na Hato hawawezi roles za Wingbacks
James kwenye kiungo jana kaboa
Robert Sachez jana kaingia uwanjani kanywa chang'aa au kafuta marijuani
Matumaini pekee ya Jana ni Front thrfee ya Rogers, Palmer na Joao Pedro na hasa Cole Palmer karudi yule kabla ya Maresca.
Kahusika na magoli yote matatu, goli nla kwanza katoa assist, goli la pili kamtengenezea Maxences Lacroix nafasi nzuri akaassist na goli la tatu na la ushindi kafunga yeye mwenye.
View attachment 3656425
Hiyo rate waliompa Sanchez wamempendelea alipaswa apewe 4/10. Kuhusu role ya Wingback Alonso anajua kabisa Hato hawezi hiyo anaweza Chavarria na kwa Gusto Kuna Palestra na hakucheza ila kwa Gusto anaweza ni vile ni mechi ya Kwanza
 
Katika hawa Camavinga, Adam Wharton, Manu kone na Alex Scott yupi mnaona mtu sahihi wa kuziba pengo la Enzo Fernandez?
Kutokana na taarifa za Usajili hawa ndio wanatakiwa na Club kwa maoni yangu Mimi ningependa Manu kone ndio tumsajili kwasababu ni mchezaji tunayehitaji awe no 8 Kanu kone ni aina ya mchezaji ambaye anakuwa offer both offensive and defensively ukiangalia Enzo ni mzuri kupush team mbele but sio mzuri defensive, anajua kupiga pass both short passes and long passes, ni mchezaji mwenye mapafu ya mbwa kuzunguka Uwanja mzima, ni mchezaji mzuri alafu Bei yake sio kubwa kama wengine.
 
Levi Colwill jana alicheza kama Tosin
Gusto na Hato hawawezi roles za Wingbacks
James kwenye kiungo jana kaboa
Robert Sachez jana kaingia uwanjani kanywa chang'aa au kafuta marijuani
Matumaini pekee ya Jana ni Front thrfee ya Rogers, Palmer na Joao Pedro na hasa Cole Palmer karudi yule kabla ya Maresca.
Kahusika na magoli yote matatu, goli nla kwanza katoa assist, goli la pili kamtengenezea Maxences Lacroix nafasi nzuri akaassist na goli la tatu na la ushindi kafunga yeye mwenye.
View attachment 3656425
Hizi ratings anaziwekaga nani? Sanches alitakiwa awe na ratings za mwisho kuliko wote, Colwill wamemuonea, pia Joao Pedro alitakiwa kuwa na ratings za juu kuliko Rodger.

Kwa muda mchache alioingia Quenda ni bonge moja la mchezaji.
 
WOTE! Colwill kafanya error na Sanchez pia.
Colwill kazidi. Mechi nzima hakuna hata punuje alicheza vizuri. Bora Sanchez kafanya saves nyingi pamoja na kuachia magoli.
 
WOTE! Colwill kafanya error na Sanchez pia.
Colwill kazidi. Mechi nzima hakuna hata punuje alicheza vizuri. Bora Sanchez kafanya saves nyingi pamoja na kuachia magoli.
Ni kweli Colwil alikuwa ana siku mbaya lakini haiondoi kuwa ni beki Bora kumbuka hii ndio Kwanza na ubora wake tunaujua ndio maana hukuti hakilaumiwa maana unajua muda wowote atarudisha ubora wake na Hilo utaona next match hiyo dhamana huwezi kuliweka kwa Sanchez umemkosea sana heshima Colwil kumfananisha na huyo mpuuzi
 
Kulikuwa na kelele nyingi sana tulipomnunua Garnacho na Delap
Tukaimbiwa nyimbo nyingi sana kwa hao flop wa msimu kama sio karne.
Sasa tumewauza wote wawili kwa faida natumaini zile kelele za inzi zitakoma.
Alejhandro Garnacho kwa £42.6 millioni
Liam Delap kwa £50 millioni
Jumla ni £92.6 millioni
Tuliwanunua kwa
Alejandro Garnacho kwa £39 millioni
Liam Delap kwa £30 millioni
Jumla ni £69 millioni
Faida ni 23.5 milioni

View: https://x.com/Curser100/status/2092382523435176036/video/1
 
Hivi tunauwezo wa kuingiza new signing?
 
Hivi tunauwezo wa kuingiza new signing?
Uwezo mkubwa upo
Kipa kwa sababu ya ule utumbo alioufanya Sanchez, Tunaweza kumsajili kipa wa Aston Villa
Beki wa Forest kwa sababu ya ile deal ya Delap (SWAP deal)
Alex Scott 80% kwa sababu Xabi ndie anampenda
KUna uwezekano tukasajili wachew3zaji minimum watatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom