Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Airtel vyura sana. Mechi inaganda kishenzi

Screenshot_20260824-224352.png
 
Levi Colwill jana alicheza kama Tosin
Gusto na Hato hawawezi roles za Wingbacks
James kwenye kiungo jana kaboa
Robert Sachez jana kaingia uwanjani kanywa chang'aa au kafuta marijuani
Matumaini pekee ya Jana ni Front thrfee ya Rogers, Palmer na Joao Pedro na hasa Cole Palmer karudi yule kabla ya Maresca.
Kahusika na magoli yote matatu, goli nla kwanza katoa assist, goli la pili kamtengenezea Maxences Lacroix nafasi nzuri akaassist na goli la tatu na la ushindi kafunga yeye mwenye.
1787622516034.png
 
View attachment 3656425
Team bado hauna
Liverpool bingwa
 
Yaaani mie sipendi jemsi akicheza kiungo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom