lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,738
- 26,022
Hawa wachezaji wengi wao ni wazuri ila strikers wengi wanafit kwenye mfumo. Chelsea hawatafiti, walikuwa wakimleta tu striker iwe amefit au la.Nawaweka hapa 👇 View attachment 3655421
Tusubirie sarakasi yua Erling Haaland kwenye mfumo wa Enzo Maresca aliyetaka kumzamisha Joao Pedro