Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Forest na Como wanamtaka Delap halafu Chelsea wanamuuza pauni milioni 40.
1786871017975.png
 
Dah watu humu cjui wakoje aisee, au mpira hua tunaangalia tofauti au n ule ule
Hivi mmeshasahau jinsi Neto alivyotuchoma last season second half? Au ninyi mliacha kufuatilia mpira baada ya Maresca kutimua? Alifanya makusudi, ni mchezaji mzuri ila aondoke ili awape nafasi Estevao Willian na Giovani Quenda. Pedro Neto sio tu alituchoma, kwenye account yake ya Instagram aliondoa kila kitu kinachohusu Chelsea. Mchezaji kama huyo akikasirika anaizamisha timu je siku tukiwa katikati ya bahari si atatuzamisha?
 
Kama tunaangalia mechi tofauti, bc sawa.
 
Chelsea vs Maresca ni kama 1‑1 au hata 2‑1, ni suala la muda tu⚽️.
Maresca alicheza uchafu dhidi ya Chelsea kwa kutafuta kazi City 😤, akaharibu msimu wetu … na sasa ataendelea kuteswa hadi Etihad imfukuze ️, kisha ajikute Championship ambako ndiko anastahili 🏟️🤣

Ukiangalia jinsi Man City walivyocheza na Arsenal 😤, ile Chelsea ya msimu uliopita — timu ambayo Enzo Maresca alitoroka — ilikuwa bora mara nyingi zaidi ⚽️

FT: Arsenal 3-0 Man City

1786896951909.png
 
View attachment 3651540
Maresca ule mpira wa back pass nyingii na possesion mlima kwenye eneo lao aliokua anaucheza chelsea ndio kaupeleka pale City, Halland atasuffer sana kwa mpira wa huyo tapeli.
 
Tunauza wachezaji bwana, hatufanyi mchezo:
① Enzo Fernández — £120m+
② Nicolas Jackson — £60m
③ Malo Gusto — £75m
④ Pedro Neto — ~£100m
⑤ Liam Delap — £50m
⑥ Axel Disasi — £25m
⑦ Marc Guiu — £25m

💰Jumla: £455
 
Ninyi mlio ona kama faida kikosi kizuri hiyo ni pesa ya 2 Midfielders
 
Tunauza wachezaji bwana, hatufanyi mchezo:
① Enzo Fernández — £120m+
② Nicolas Jackson — £60m
③ Malo Gusto — £75m
④ Pedro Neto — ~£100m
⑤ Liam Delap — £50m
⑥ Axel Disasi — £25m
⑦ Marc Guiu — £25m

💰Jumla: £455
Hiii club ya wamachinga kweli ukifika bei hata nguo ya mwlini atakuuzia maaana pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom