Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,929
- 7,803
Top 4 haina ratiba na ninyi msimu huu mtaungana na liverkukuSubiri wewe mtoto mdogo uone Kandanda safi unakaribishwa uwashuhidie mabingwa wa Dunia
Top 4 haina ratiba na ninyi msimu huu mtaungana na liverkukuSubiri wewe mtoto mdogo uone Kandanda safi unakaribishwa uwashuhidie mabingwa wa Dunia
Huu msimu tunagombania ubingwa let seeTop 4 haina ratiba na ninyi msimu huu mtaungana na liverkuku
Kuna watu wamesema taarifa hiyo feki kwa sababu msimamo wa Chelsea ni pauni milioni 75, hata wakipungua sio euro mil 60Mbona hiyo hela ni ndogo ??
Maresca ni mjanja yule, alivyoweza kuipa Chelsea makombe mawili na ubovu ule, je City iliyosheheni wachezaji wazuri? Bado nasubiri nione ile antinode ya Marseca itakubali au itakataa damu ya the CitizensHuu msimu tunagombania ubingwa let see
Confirmed Team vs Real Sociedad
Defence: Sanchez, Fofana, Lacroix, Colwil and Palestra
Midfielder: Caicedo and Reece James
Attacks: Neto, Palmer, Morgan and Joao Pedro.
NB: Ebu nisaidieni huu ni mfumo gani nimeshindwa kuelewa hapo Fofana anacheza kama RB au Center back huyu ndio kanichanganya kujua mfumo gani
Chelsea Lineup vs Real Sociedad
----------Joao Pedro-----------
--Rogers--------------Palmer--
Palestra---Caicedo ---James---Neto
---Collwill----Lacroix----Fofana----
-------------Sanchez------------
Substitutes
1. Mike Penders
2. Gabriel Slonina
3. Josh Acheampong
4. Pep Chavarría
5. Malo Gusto
6. Jorrel Hato
7. Dariol Essugo
8. Romeo Lavia
9. Valentín Barco
10. Enzo Fernández
11. Estevão Willian
12. Jamie Bynoe Gittens
13. Giovani Quenda
#Chelsea #Transfers #FutureStars #SquadDepth #BlueArmy #CFC
View attachment 3650720
Si mnataka vibabu vya kuwafunda vijana dressing roomAcha masiala wewe Otamendi anaenda kuongezea nini
Naombeni app niangalie mpira wazee
Sikuangalia yote kwa kufuatilia moja kwa moja.lembu tunataka tusikie uchambuzi wako kuhusu mechi ya leo me nimeangalia kuanzia dk 75
Si bora Otamendi mara 100, huyo takataka Henderson anaongeza nini?Acha masiala wewe Otamendi anaenda kuongezea nini
Nimejaribu kuangalia highlight nimeona baadhi ya sajili Mpya hawapo kwenye fitness level mfano Lacroix, Morgan japo kafunga lakini bado hayupo kwenye hiyo level ya fitness Kuna Pep chavarria pia.Sikuangalia yote kwa kufuatilia moja kwa moja.
Nialianza dakia ya 20+ na baadaye nikaja kuangalia baada ya HT, mawasiliano ikakatika nikarudi dk ya 70 hivi.
Kwa ujumla bado wachezaji waajajenga chemistry nzuri kwa mfumo wa Xabi Alonso
Kitu kimoja kiko wazi — João Pedro ni kitu kizuri cha kujivunia pale Chelsea kwa sasa. 🔵✨
Chelsea walicheza vibaya kipindi cha kwanza licha ya goli la mapema lililotokana na juhudi za Pedro Neto na kichwa cha João Pedro, kisha Morgan Rogers akamalizia kwa mpira rahisi wa karibu. João Pedro na Pedro Neto walikuwa wachezaji waliobeba timu kabla ya mapumziko.
Cole Palmer alicheza vibaya kipindi cha kwanza lakini Xabi Alonso aliweza kubadili mtazamo wa wachezaji kipindi cha pili. Palmer akarudi akiwa makini zaidi, mabadiliko yakaleta nguvu mpya na timu ikabadilika kabisa.
Pedro Neto alicheza vizuri sana hadi alipotolewa. Enzo Fernández alipoingia kulikuwa na hisia mchanganyiko — wachache walimzomea, lakini wengi wakaimba jina lake “Oh, Enzo Fernández!”. Upendo wa mashabiki kwake ni mkubwa, na kwa namna hiyo inaonekana Enzo anaweza kuamua kubaki Chelsea. Mawasiliano yake na mashabiki yalikuwa ya kihisia kabisa.
Malo Gusto naye aliingia na akatoa kiwango bora.
Kwa ujumla, timu iko tayari kwa ligi. Sina shaka kabisa. 🔥⚽
View attachment 3651164
Kama haoni anachongeza Baki na mawazo yakoSi bora Otamendi mara 100, huyo takataka Henderson anaongeza nini?
Ni mchezaji mzuri sijui kwanini hawampendiPedro Neto akiondoka ntaumia sana aisee, cjui kwann wengi humu mnampuuza jamaa ila n bonge moja la mtu
Gittens acheze badala ya Rogers utakuwa unatania kwa kweli. Kwanza Gittens anafaa tu kwenye mfumo wa winga ila huu wa double 10 hawezi kucheza labda hata ungesema Estevao acheze na Palmer.Nimejaribu kuangalia highlight nimeona baadhi ya sajili Mpya hawapo kwenye fitness level mfano Lacroix, Morgan japo kafunga lakini bado hayupo kwenye hiyo level ya fitness Kuna Pep chavarria pia.
Jambo lingine nimeliona niliwahi kuzungumza unapowachezesha James na Caicedo ni wachezaji wazuri kwenye kuzuia ila sio kwenye kupandisha mashambulizi na ndio maana first half hatukucheza vizuri mpaka pale alivyoingia Enzo Fernandez ndio mpira ukabadilika.
NB: Ningependa against Fulham hawachezeshe wachezaji wengi ambao tulikuwa nao misimu uliopita wengine wanaingizwa taratibu taratibu kwasababu ndio wanachemistry na muda ni mchache umeona alivyoingia Malo Gusto kacheza as if alikuwa kwenye pre season tangu mwanzo Experience ipo na hata pia Enzo Fernandez alikuwa anacheza kwa mamlaka so mechi dhidi ya Fulham Ningependa kikosi kiwe hivi
Sanchez
James. Fofana. Colwil.
Neto. Enzo. Caicedo. Palestra.
Palmer. Gittens.
Joao Pedro.
OR
Sanchez.
James. Fofana. Colwil. Hato.
Enzo. Caicedo.
Neto/Estevao. Palmer. Gittens.
Joao Pedro.