Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard anamtaka Josh na Chelsea wako tayari kumtoa kwa mkopo.
Naunga mkono wazo

View attachment 3650220
Binafsi nisingependa huyu dogo wamtoe kwa mkopo ukiangalia kwenye defense yetu hasa Reece James na Fofana ni injury prone na lazima ujue si mechi zote Mexence Lacroix atacheza lazima Kuna mechi atapumzishwa kama mechi za Carabao au FA bado naona nafasi kubwa ya Dogo
 
Hapo vipi
Hakuna kwa sasa timu duniani inayoipiku Chelsea kwa kuuza wachezaji. Sijui negotiator pale Chelsea ni nani
1786709818148.png
 
Binafsi nisingependa huyu dogo wamtoe kwa mkopo ukiangalia kwenye defense yetu hasa Reece James na Fofana ni injury prone na lazima ujue si mechi zote Mexence Lacroix atacheza lazima Kuna mechi atapumzishwa kama mechi za Carabao au FA bado naona nafasi kubwa ya Dogo
Josh bado anzo silly errors. Anacheza vizurii sana ila maamuzi kidogo goli. ili tumfaidi aende kwenye timu ambazo hatacheza kwa presha kubwa ili azoee na kupunguza hizo errors

Mabeki tunao Fafana na Maxence
Levi Colwill na aidha Hato au Mamadou Sarr au Aaron Anselmino
Chelsea pia ilikuwa na mpango wa kumuongeza beki mzoefu kama outgoings zikiwa nyingi
 
Mkuuuu hyo Sarr mbona kma Disasi
 
Josh anacheza RCB na Center side defender kwahiyo namba yake ipo kwenye nafasi ya Maxence Lacroix,Reece James na Fofana ndio maana nikakuambia Fofana na Reece James pancha sana sio wakuwategemea ndio maana nikasema bado tunamuhitaji dogo kuliko kupoteza hela wakati tunabidi tupunguze gape ya Financial fair play. Huyo Hato, Colwin hawachezi kwenye hizo nafasi maana wao ni LCB kwahiyo huko Josh hapamuhusu.
 
lembu mwisho ni saa ngapi kwa East Africa time ambapo Man City wamepewa na Chelsea mpaka kukamilisha dili la Enzo?
 
Mashabiki wengi wa Chelsea na football kwa ujumla Wana mu underrate sana Pedro Neto tuna wasifia wachezaji wengine kama Palmer, Caicedo n.k tunamuacha huyu jamaa lakini asikuambie mtu moja kati ya wachezaji muhimu ni huyu jamaa ndio maana makocha wengi huwa wanampenda baada ya ujio wa Estevao wengi waliona atapigwa benchi dhidi ya huyu lakini haikuwa hivyo.

Pedro Neto anapendwa na makocha wengi kwasababu Pedro Neto ana workrate kubwa uwanjani kuliko mawinga wengi mafundi, ana kasi alafu ni mzuri sana kwenye kufanya majukumu ya ukabaji. Kwa aina ya mfumo wa Alonso wa mabeki watatu nawaambia ukweli Pedro Neto atakuwa first choice ya Winger ,wa pili atakuwa Quenda na mwisho ni Estevao yeye ndio anakizi nafasi ya Wing back na Quenda kwa Estevao hafit ila kama mfumo utakuwa wa mabeki wanne.
uko sawa mkuu pedro anajitos sana sijui why watu wanataka auzwe sasa aje nani?
 
Disasi (28) kashazeeka hakui tena. Kumfananisha Mamadou Sarr kijana mdogo wa miaka 20 ambaye hata kandanda bado hajaanza kucheza, kweli unajua mpira wewe?
Sarr ni kijana sio Mzee nilimuona kwenye michuano ya Afcon iliyoisha aliperform vizuri sana anachohitajika ni kupewa tu nafasi sema akipewaga nafasi huwa anapangwa na Tosin ana bahati mbaya sana huyu dogo
 
uko sawa mkuu pedro anajitos sana sijui why watu wanataka auzwe sasa aje nani?
Pedro ni mzuri ila anamawenge sana, ametuzamisha sana nusu ya pili ya msimu uliopita yeye na Malo Gusto. Hata wakiuzwa mimi nitafurahi sana.

Good news

Pedro Neto na Al Hilal wameshakubaliana personal terms.
Chelsea wanataka angalau Euro milioni 60.

1786777325380.png
 
Confirmed Team vs Real Sociedad

Defence: Sanchez, Fofana, Lacroix, Colwil and Palestra

Midfielder: Caicedo and Reece James

Attacks: Neto, Palmer, Morgan and Joao Pedro.

NB: Ebu nisaidieni huu ni mfumo gani nimeshindwa kuelewa hapo Fofana anacheza kama RB au Center back huyu ndio kanichanganya kujua mfumo gani
 
Chelsea Lineup vs Real Sociedad

----------Joao Pedro-----------

--Rogers--------------Palmer--

Palestra---Caicedo ---James---Neto

---Collwill----Lacroix----Fofana----

-------------Sanchez------------

Substitutes
1. Mike Penders
2. Gabriel Slonina
3. Josh Acheampong
4. Pep Chavarría
5. Malo Gusto
6. Jorrel Hato
7. Dariol Essugo
8. Romeo Lavia
9. Valentín Barco
10. Enzo Fernández
11. Estevão Willian
12. Jamie Bynoe Gittens
13. Giovani Quenda
#Chelsea #Transfers #FutureStars #SquadDepth #BlueArmy #CFC

1786797764049.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom