Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kuinua mikono yote miwili katika lile ishara wakati wa Kombe la Dunia 2026, je Enzo Fernández alikuwa akiwaaga mashabiki wa Argentina, au tunachokiona Stamford Bridge ni tafsiri isiyo sahihi ya ishara ile ile?

1786486483736.png
 
Happy 18th Birthday, Dastan Satpayev! 🎉💙

Dastan ametimiza miaka 18 leo na tayari ni mchezaji halali wa Chelsea. Tunatumaini kuwa taratibu zote za usajili zinafanyika sasa hivi na kwamba atatangazwa rasmi kama mchezaji wa Chelsea muda si mrefu. 🔵✨

1786516342333.png
 
View attachment 3648837
Huyu inabidi apelekwe kwa mkopo hasa kwenye team ya EPL aendelee kukua nafikiri Chelsea itabaki na Joao Pedro, Welbeck, Emanuel megher na Nicolas Jackson.
 
Pedro Neto (26) ni mpuuzi sana. Nusu ya msimu uliopita alizima data kabisa na kucheza vibaya kwa makusudi. Build‑ups zikimfikia yeye anaharibu, na usitake tukuwekee video zake kama uliacha kumfuatilia. Ni kwa sababu yake, na wengine kama Malo Gusto, Chelsea ilimaliza nafasi ya 10. Akiuzwa Neto, ni kwa usalama wa Chelsea.

Bahati nzuri Quenda na Estevão wataweza kuziba hiyo RW. Estevão anahitaji tu Xabi Alonso ampe maelekezo aache ubinafsi na ajifunze kutoa pasi badala ya mambo mengi yasiyolingana na umri wake. Quenda sina shida naye—anaweza kupata dakika nyingi kuliko Estevão kwa sababu anaonekana yuko mature zaidi kwenye maamuzi.

View attachment 3648687
Msimu ule ulikuwa mbaya kwa karibia kwa kila player Palmer mwenyewe akarudi sio yule Palmer tunayemfahamu. Ni kweli baadhi ya mechi Pedro Neto alizingua lakini ni chache kulinganisha na mechi alizoperform vizuri kwa mchezaji huwa inatokea Kuna wakati upepo mbaya unakupitia
 
Ni Malo Gusto na Pedro tu tena wamefanya makusudi kwa sababu ya kuchukia Maresca kuondoka, Palmer alitokea Majeruhi form yake ikachelewa kurudi, Estevao alienda amajeruhi ila alikuwa akicheza vizuri. Enzo Fernandez akliumizwa sana an Maresca kuondoka ila yeye form yake ilipaa zaidi alituokoa kwenye ocacsions nyingi sana. Huwezi niambi kitu kwa Neto. Menatlity yake haifai kuwa Chelsea. Ni bora hata waarabu wameanza negotiaition ya mil 90
Hata Cucurella form yake ilishuka n a ni wale wale walioumizwa na Kuondoka kwa Maresca.
Mbona Enzo yeye hakuacha kucheza vizuri? hao walikusudia na hasa Neto aliua build nyingi sana hadi inaudhi sana
 
Ijumaa saa saa 2 usiku ndio mwisho wa kulipa pauni milioni 120 bila kupungua kwa mkuda yeyote anayetaka kumnunua Enzo Fernández, baada ya hapo hakuna kuuza, Enzo Fernández atakuwa sehemu ya jeshi la mapambano la Xabi Alonso msimu ujao. Nimeipenda hii kutoka wka manajimenti ya Chelsea.
1786576525246.png
 
View attachment 3649483
Chelsea wangeweka 150 hiyo pesa Man City wanauwezo wa kulipa hasa wakimuuza Rodri
 
Personal terms agreed
Enzo anapenda kucheza UEFA Champion League ila halazimishi kutoka Chelsea. Hiyo ndio msimamo wake na ndio maana Chelsea hawako na haraka kumuuza.
Ila binafsi nisingependa auzwe kwa 120 kwa aina la soko la Sasa tena kwa mpinzani wako na Enzo ni moja kati ya wachezaji bora ni vema akauzwa kwa 150. Kama wamenunua Anderson 117 kwanini sisi iwe 120?
 
Enzo mzuri ila akiuzwa itakuwa na faida sana kwa Chelsea kwa sababu hizi
1) Enzo hajawahi kuwa pair mzuri kwa Caicedo au vicecersa kwa sababu wote ni B2b CMs wanahama hama na kuacha nafasi kiubwa katikati inayowafanya mabeki wawe vulnerable kwa counter attack na ndio imekuwa ikituchoma sana magoli hasa kwa low block teams.
2) James na Lavia ni DM wazuri ila majeruhi ya mara kwa mara inawafanya wasiwe DM wa kutegemewa
3) Pauni 120m itmuwezesha Alonso amnunue positional DM wa kukata umeme na hivyo Caicedo kucheza kwa uhuru na mabeki wetu kulindwa. Mfumo wa Alonso inahitaji kuwa na DM asiyehama na kuhakikisha nafasi mchezaji na mchezaji ni ndogo sana.
4) Enzo Maresca aligundua haraka hilo ndipo akaamua kumpel;eka mbele na akina James, Lavia kutum iak kama DM. Sasa ujio wa Palmer back from injury na ujio wa Rogers unafanya umuhimu wa Enzo kule mbele usiwe wa muhimu sana kama kipindi cha nyuma.
Tuone kama leo saa mbili usiku Enzo Marseca atakuwa amefanikiwa kumchukua Enzo mwenzake
 
Naona ujanielewa sipingi Enzo Fernandez kuuzwa nachopinga ni pesa inayotaka Chelsea kumuuza naona ni ndogo kutokana na uhitaji mkubwa wa City tumpige 150 au 140 hili kosa ndio tumefanya hata kwa Cucurella tumemuuza kwa Bei chee sana Wakati tulikuwa tuna nafasi kubwa ya kudelay ili thamani ipande zaidi trust me Cucurella angekuwa team kama Newcastle na kwa performance yake asingeuzwa pound mil 60.
 
Naona ujanielewa sipingi Enzo Fernandez kukuzwa nachopinga ni pesa inayotaka Chelsea kumuuza naona ni ndogo kutokana na uhitaji mkubwa wa City tumpige 150 au 140 hili kosa ndio tumefanya hata kwa Cucurella tumemuuza kwa Bei chee sana Wakati tulikuwa tuna nafasi kubwa ya kudelay ili thamani ipande zaidi trust me Cucurella angekuwa team kama Newcastle na kwa performance yake asingeuzwa pound mil 60.
Nakuunga mkono kwa Enzo na Cucurella japo alibakiza 2 years kwenye mkataba bado tungeweza kupata mil 70 hadi 80. Soko la fullbacks, midfileds na washambualiaji liko inlated mno.
 
Lampard anamtaka Josh na Chelsea wako tayari kumtoa kwa mkopo.
Naunga mkono wazo

1786708899261.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom