lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,030
🚨 Kesi imefungwa!
Mashitaka yote dhidi ya Chelsea yamefungwa na Premier League pamoja na FA.
💰 Faini jumla: TSh £20.75m.
✅ Marufuku ya usajili wa academy kwa miezi 9.
❌ Hakuna marufuku rasmi ya dirisha la usajili — isipokuwa kama klabu itavunja sheria katika madirisha mawili yajayo.
❌ Hakuna kupunguziwa pointi.
Mudryk karudi
Mashitaka 74 yamefungwa
Chelsea tunabeba FA na EPL msimu ujao