🚨
Gary Neville kuhusu wachezaji wazee:
**“Kuweka uti wa mgongo wa wachezaji wakongwe wenye uzoefu ambao wanakuwa kama walinzi wa maadili na majukumu si uchawi; timu zimekuwa zikifanya hivyo kwa miongo kadhaa. Kumpa nafasi Henderson anayejua namna ya kushinda taji na Welbeck, kazi yao ni kubwa nje ya uwanja kama ilivyo ndani ya uwanja.
Wote bado ni wachezaji wazuri na wanaweza kuchangia, lakini jukumu lao kubwa ni kuhakikisha vijana wanajitokeza kila siku, wanajituma kwa nguvu zote, na kurudia tena kesho. Hili limekuwa tatizo Chelsea — hakuna kijana wao aliyekuwa na mwongozo au uongozi ndani na nje ya uwanja.
Welbeck ni mchezaji wa kipekee, hii ni hatua nzuri kwa Chelsea.”**
(
@SkySportsPL)
View attachment 3639290