Kwa huyu hapana Bora hata XhakaNasikia na Jordan Henderson huko ni karibu na HERE WE GO. Mzee wa miaka 36, Chelsea yangu imekumbwa na nini jamani
View attachment 3638201
Kwa huyu hapana Bora hata XhakaNasikia na Jordan Henderson huko ni karibu na HERE WE GO. Mzee wa miaka 36, Chelsea yangu imekumbwa na nini jamani
View attachment 3638201
Ripoti zinadai, Joao Pedro na Emanuel Emegha watabaki na wengine wote wataondoka kwa kuuzwa au mkopo
Vipi Dastan Satpaev?Ripoti zinadai, Joao Pedro na Emanuel Emegha watabaki na wengine wote wataondoka kwa kuuzwa au mkopo
Kama forest wameangalia mechi ya leo sidhani kama watatoa zaidi ya 20m, kuna kijeba kinaitwa Tosin kile hata bure hakuna team EPL inachukua
Dogo ananyumbulika sanaVipi Dastan Satpaev?
Hamna mchezaji hapa mbele kule alikuwa anaongoza kupoteza mipira control yake mbovu sanaKama forest wameangalia mechi ya leo sidhani kama watatoa zaidi ya 20m, kuna kijeba kinaitwa Tosin kile hata bure hakuna team EPL inachukua
Alonso anampenda, anaweza kubaki, maybe baada ya preseaosn ndio tutajua vizuri ila Nicolas Jackson na Liam Delap, hakuna ujanja wabaki. Advantage ya Jackosn anaweza kupata timu nyingi zinazohitaji huduma yake ila bei kubwa sana na nafikri pia mshahara aliyokuwa analipwa Chelsea mkubwa kwa timu ndogo kuweza kumuduVipi Dastan Satpaev?
Wameangalia mechi akiichezea Ipswich Town.Kama forest wameangalia mechi ya leo sidhani kama watatoa zaidi ya 20m, kuna kijeba kinaitwa Tosin kile hata bure hakuna team EPL inachukua
Ila Chelsea tumekusanya magalasa sana kmamake , imagine Tosin + wale wafaransa watatu viazi kama mabeki ,haya mamizigo yauzwe hara kwa paundi milioni 20 kila moja ,useless Kabisa kujaza dressing roomKama forest wameangalia mechi ya leo sidhani kama watatoa zaidi ya 20m, kuna kijeba kinaitwa Tosin kile hata bure hakuna team EPL inachukua
Matakataka kibao sanaIla Chelsea tumekusanya magalasa sana kmamake , imagine Tosin + wale wafaransa watatu viazi kama mabeki ,haya mamizigo yauzwe hara kwa paundi milioni 20 kila moja ,useless Kabisa kujaza dressing room
Mkuu mpira hauko hivyo pamoja na performance za ovyo za Madueke ila tumeweza kumuuza pound mil 50, Mason Mount msimu wake wa mwisho alipoteza namba kwa Joao Felix na akawa anaanzia benchi lakini tukamuuza Man united kwa pound mil 60Kama forest wameangalia mechi ya leo sidhani kama watatoa zaidi ya 20m, kuna kijeba kinaitwa Tosin kile hata bure hakuna team EPL inachukua
Ni vile baadhi mashabiki viazi wasiojua mpira wanaponda huu Usajili, Ukimtoa Joao Pedro hakuna mshambuliaji mwingine wa Chelsea kafunga magoal kama Welbeck Katia kamba magoal 13 na katika hayo magoal ana penalty 1 tu na kwenye Top 10 ya washambuliaji wenye magoal mengi Welbeck anashika nafasi 9 wakati huo huo Nafasi ya 10 imeshikwa na Eli junior Kroupi wa Bournemouth ambaye anagombaniwa na Barcelona na Man City na ada yake ya Usajili imewekwa na Bournemouth pound million 111 wakati sisi tunampata Welbeck Bure na ni mzoefu kwenye ligi, analijua goal,huwa anatufunga sana alafu pia anawafunga team kubwa zote. Na huwa akiingia kutoka benchi anabadilisha mchezo wakati msimu uliopita ikitokea tumemtoa Joao Pedro mechi imeisha hawaoni kwamba Uongozi wamefanyia mapungufu ya msimu uliopita? au ni vile tuna hulka ya kupenda kulalamikaBREAKING
Mwamba huyo tayari
Je, ulijua kwamba Danny Welbeck alianza kucheza mpira mwezi Septemba 2008 katika klabu ya Manchester United akiwa na miaka 17 tu?
Na je, ulijua kwamba tarehe 15 Novemba 2008, kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya Stoke City, alifunga bao la yadi 30?
Miaka 18 baadaye, Chelsea wanamsajili kama mshambuliaji.
Karibu Danny Welbeck kwenye klabu ya Chelsea.
Kutoka Manchester United, kwenda Sunderland, kurudi Manchester United, kisha Watford, Brighton na sasa Chelsea.
View attachment 3638957
🚨 Gary Neville kuhusu wachezaji wazee:Old Lady FC 😂… Chelsea hii inaenda kutawala ligi kama Juventus ya enzi zile walipokuwa wakisajili wachezaji wakongwe. Umri si kikwazo, makombe ndiyo lengo 🏆💙
Waleteni wazee wenu tuwafikirie kwenye usajili, kambi ya wazee inasajili sasa
View attachment 3639261