Tukipata hata hiyo ni bora, na tutakua tumewatapeli.Weka akiba ya manene, cha msingi tunapewa Euro 130M hadi 150M penda usipende
Mtumishi hewa mwingine huyu hapa, kashaumia huko!! tupate timu nyingine nayo tuitapeli.
Tukipata hata hiyo ni bora, na tutakua tumewatapeli.Weka akiba ya manene, cha msingi tunapewa Euro 130M hadi 150M penda usipende
Ila utapeli wa madueke na Kai harvertz haujawalipa majirani zenu arsenal kny ubingwa Epl 2026??Tukipata hata hiyo ni bora, na tutakua tumewatapeli.
Mtumishi hewa mwingine huyu hapa, kashaumia huko!! tupate timu nyingine nayo tuitapeli.
View attachment 3617041
Mimi mechi zote za Chelsea na Enzo Fernandez nazifuatilia sana, najua udhaifu wake na nguvu yake, najua anapokuwa yuko hovyo na anapokuwa vizuri.Makocha gani wamemtaka? si ni yeye ndio ameitaka madrid?!
Enzo ni tapeli, mchezaji mzuri hata akiwa kapu moja na matakataka kama ni mchezaji mzuri utamuona tu. Unamuona Bruno pale Nyumbu.
Uachage kufatilia mpira kwa kufuata mkumbo, eti kisa mchezaji ni £200 basi ni mchezaji mzuri! Mawakala wa mchezaji wanachezaga na akili za watu ili wapige pesa.
Mchambue mchezaji kwa jinsi unavyomuona ww, sio ukiingia mitandao ya wazungu huko ukiona wanavyomchambua mchezaji hujui wana mahaba gani na mchezaji, na ww kichwa kichwa unacopy na kupaste. ndio mana umekua ukitofautiana na watu hapa jukwaani na umeishia kuumbuka.
Wewe lazima una matatizo, katika hao walioumia umemwona Reece James tuTukipata hata hiyo ni bora, na tutakua tumewatapeli.
Mtumishi hewa mwingine huyu hapa, kashaumia huko!! tupate timu nyingine nayo tuitapeli.
View attachment 3617041
Kama tutaweza kuwasajili Xhaka na Maxence LaCroix kama tetesi zinazosema na tukamalizia na sehemu zingine zenye udhaifu kama left winger na attack midfielder tutakuwa tumeongeza leadership na ukomavu kwenye kikosi nakufanya tuwe washin
Xhaka alituvuruga sana pale Kati kwenye middle mechi zote mbili Caicedo alipotezwa. Xhaka msimu uliopita alikuwa kwenye performance ya juu sana katika Top 5 ya midfielders waliofanya vizuri Epl jina lake lazima liwepo yeye ndio reason ya Sunderland kuingia kwenye michuano ya Europe, ukiachana na hivyo Xhaka anajua aina ya mpira wa Xabi Alonso kwasababu walikuwa pamoja Bayer Leverkusen mpaka ikachukua ubingwa mbele ya Bayern.Hivi Shaka kweli anafaa kuja Chelsea au sijamfatilia hivi karibuni?
Yaani sisi tumegeuka kula makapi ya Chelsea ili tuwanie top 4 kama Arsenal ya UnaiKama tutaweza kuwasajili Xhaka na Maxence LaCroix kama tetesi zinazosema na tukamalizia na sehemu zingine zenye udhaifu kama left winger na attack midfielder tutakuwa tumeongeza leadership na ukomavu kwenye kikosi nakufanya tuwe washindani.
Kumbuka mwamba team yetu ina wachezaji wengi vijana wapo kwenye progress hasa kwenye nafasi anayocheza Xhaka tuna Santos, Romeo Lavia na Essugo na pia sababu kuu ya Enzo Fernandez kutaka kuondoka ni kwasababu hatu sajili experience player same to Cucurella kilichomuondosha kwa hiyo lazima club iwe na short and long plan na Xhaka anakuja kama short plan ndicho ambacho wakina Enzo wanakitaka na ndicho kimemfanya Caicedo na Reece James waongeze mkataba kwa kuhaidiwa na maboss.Hivi unakumbuka Thiago Silva kaja kwenye team yetu na umri gani? Na kakaa kwa miaka 4 still akiwa na kiwango kizuri kiasi ambacho sisi wenyewe mashabiki hatukupenda team imuachie then baada ya kuondoka angalia defense yetu ilivyoshake jaribu kuwaza kwa mapana kabla haujaongea.Yaani sisi tumegeuka kula makapi ya Chelsea ili tuwanie top 4 kama Arsenal ya Unai
Yaani sisi tumewapa Havertz na Madueke wabebe ubingwa; sisi tumchukue kapi Granit Xhaka ili tujitutumue kuingia top 4 kweli. Dunia mviringo.
Namuheshimu sana Xhaka, ameiwezesha Levakusen kushinda kombe la Ujerumani mbele ya timu kubwa kama Bayern Munich na pia kuikokota Sunderland hadi michuano ya Ulaya katika uzee ule.
Ila wanachelsea tusifurahie sana, septemba jamaa anaingia 34 na mabosi wanataka kumpa mkataba wa miaka mitatu, yaani tutakuwa nae akiwa na miaka 34, 35 hadi 36.
Wakifanya hivyo wasimpe mshahara mkubwa ili tukitaka kumuuza Ligi ua Marekani au Saudi tusihangaike.
Nitiba ya muda mfupi, yeye akicheza na Caicedo atampa uhuru wa kuroam kwenye box kwa sababu Xhaka ni DM aliyetulia
Sawa kama kafanya kazi na Alonso haitaleta ugumu kumwelekezaYaani sisi tumegeuka kula makapi ya Chelsea ili tuwanie top 4 kama Arsenal ya Unai
Yaani sisi tumewapa Havertz na Madueke wabebe ubingwa; sisi tumchukue kapi Granit Xhaka ili tujitutumue kuingia top 4 kweli. Dunia mviringo.
Namuheshimu sana Xhaka, ameiwezesha Levakusen kushinda kombe la Ujerumani mbele ya timu kubwa kama Bayern Munich na pia kuikokota Sunderland hadi michuano ya Ulaya katika uzee ule.
Ila wanachelsea tusifurahie sana, septemba jamaa anaingia 34 na mabosi wanataka kumpa mkataba wa miaka mitatu, yaani tutakuwa nae akiwa na miaka 34, 35 hadi 36.
Wakifanya hivyo wasimpe mshahara mkubwa ili tukitaka kumuuza Ligi ua Marekani au Saudi tusihangaike.
Nitiba ya muda mfupi, yeye akicheza na Caicedo atampa uhuru wa kuroam kwenye box kwa sababu Xhaka ni DM aliyetulia
Hata waliowachukua Mudryk, Torres, Lukaku kwa pesa ndefu pia wana PHD ya mpira. Embu acha kujiaibisha we mzee, bei wanaweka mawakala wao,kuna wachezaji kibao wanaupiga mwingi kuliko hiyo takataka na hawana hata bei.Mimi mechi zote za Chelsea na Enzo Fernandez nazifuatilia sana, najua udhaifu wake na nguvu yake, najua anapokuwa yuko hovyo na anapokuwa vizuri.
Tena ninapoangalia mechi sivuti bange wala kulewa Vodka au Konyagi. Kwa akili timamu kabisa namzoom na kumuelewa sio kama wewe unakurupuika tu, kila mtu anamsifia wewe unamkandia. Wako wamesomea mpira hadi PHD wanampa bei ya pauni 120m wewwe unasema takataka. Mungu anakuona hapo ulipo.
Wakati wa Pochettino alijaribu kumpiga benchi timu haielewani. Yeye ni Kama Cole Palmer hata akiwa kwenye form mbovu bado yuko bora mara 3 zaidi ya viungo tulio nao.
Enzo Fernandez ni moajwapo wa kiungo mbunifu na anayeweza kucontrol mchezo ka pasi fupi na ndefu an zenye maono. Wewe hujui mpira kabisa, unachojua sana sana ni kukandia , kukososa na kubisha tu.
Unapoteza muda wako, hajui mpira huyo mzee, angalia akili yake!! bado anawawaza matakataka Havertz na Madueke?! si mafuta ya taa huyo.Kumbuka mwamba team yetu ina wachezaji wengi vijana wapo kwenye progress hasa kwenye nafasi anayocheza Xhaka tuna Santos, Romeo Lavia na Essugo na pia sababu kuu ya Enzo Fernandez kutaka kuondoka ni kwasababu hatu sajili experience player same to Cucurella kilichomuondosha kwa hiyo lazima club iwe na short and long plan na Xhaka anakuja kama short plan ndicho ambacho wakina Enzo wanakitaka na ndicho kimemfanya Caicedo na Reece James waongeze mkataba kwa kuhaidiwa na maboss.Hivi unakumbuka Thiago Silva kaja kwenye team yetu na umri gani? Na kakaa kwa miaka 4 still akiwa na kiwango kizuri kiasi ambacho sisi wenyewe mashabiki hatukupenda team imuachie then baada ya kuondoka angalia defense yetu ilivyoshake jaribu kuwaza kwa mapana kabla haujaongea.
Tuwe wa kweli Enzo Fernandez ni mtu na nusu sifa ya Enzo anajua kunusa harufu ya hatari kwenye box la mpinzani kupitia mikimbio anayofanya na ndio maana msimu huu ana magoli mengi japo tulikuwa na msimu mbaya. Enzo anafanya flow ya team iwe nzuri kwenye kushambulia kupitia accurate pass anazofanya na wakati mwingine anajua kupiga long pass hasa akicheza deep midfielder so mpaka anashinda mchezaji Bora wa michuano ya kombe la Dunia ya msimu uliopita haikuwa ni kwa bahati mbaya ndio ilimfanya Chelsea wamsajili kwa pesa ndefu Pound 105M, udhaifu wa Enzo pekee ni kwenye kukaba ila maeneo mengine yote yupo vizuri.Hata waliowachukua Mudryk, Torres, Lukaku kwa pesa ndefu pia wana PHD ya mpira. Embu acha kujiaibisha we mzee, bei wanaweka mawakala wao,kuna wachezaji kibao wanaupiga mwingi kuliko hiyo takataka na hawana hata bei.
Huyo enzo pasi gani fupi na ndefu zenye maono alishawahi kupiga?? Kupiga pasi za mwisho tu mtihani, labda back pass na sideway pasi zenye maono, kushuti pia mtihani!! Sijui ww unaangaliaga mpira upi?! Ngoja aje Xhaka akufungue akili.
Sighning ya Mudryk haina shida yeyote katika level ya sporting. Yaliyotokea ya madawa yaliyokataliwa hakuna anayejua ukweli. Mudryk ni bonge la Winga na angekuwepoo leo Chelsea ingekuwa tofauti kabisaHata waliowachukua Mudryk, Torres, Lukaku kwa pesa ndefu pia wana PHD ya mpira. Embu acha kujiaibisha we mzee, bei wanaweka mawakala wao,kuna wachezaji kibao wanaupiga mwingi kuliko hiyo takataka na hawana hata bei.
Huyo enzo pasi gani fupi na ndefu zenye maono alishawahi kupiga?? Kupiga pasi za mwisho tu mtihani, labda back pass na sideway pasi zenye maono, kushuti pia mtihani!! Sijui ww unaangaliaga mpira upi?! Ngoja aje Xhaka akufungue akili.
Sijawahi kukusoma wewe ukichambua mpira, unachojua ni neno moja tu "TAKATAKA"Unapoteza muda wako, hajui mpira huyo mzee, angalia akili yake!! bado anawawaza matakataka Havertz na Madueke?! si mafuta ya taa huyo.
Takataka ile, hiyo flow nzuri ya timu huwa anaifanyia wapi?! mnaona nyie tu, Tungekua wa 10 huko? embu acheni masihara nyie.Tuwe wa kweli Enzo Fernandez ni mtu na nusu sifa ya Enzo anajua kunusa harufu ya hatari kwenye box la mpinzani kupitia mikimbio anayofanya na ndio maana msimu huu ana magoli mengi japo tulikuwa na msimu mbaya. Enzo anafanya flow ya team iwe nzuri kwenye kushambulia kupitia accurate pass anazofanya na wakati mwingine anajua kupiga long pass hasa akicheza deep midfielder so mpaka anashinda mchezaji Bora wa michuano ya kombe la Dunia ya msimu uliopita haikuwa ni kwa bahati mbaya ndio ilimfanya Chelsea wamsajili kwa pesa ndefu Pound 105M, udhaifu wa Enzo pekee ni kwenye kukaba ila maeneo mengine yote yupo vizuri.
Kocha wa Chelsea, Xabi Alonso, hataki Enzo Fernández aondoke — anamwona kama kiungo muhimu katika mpango wake mpya wa timu.Sighning ya Mudryk haina shida yeyote katika level ya sporting. Yaliyotokea ya madawa yaliyokataliwa hakuna anayejua ukweli. Mudryk ni bonge la Winga na angekuwepoo leo Chelsea ingekuwa tofauti kabisa
View attachment 3618369
Sasa huyo alioandika hapo si mtu tu anaamua kuandika, wapi Alonso amesema hivyo?! Alonso anamtaka Xhaka hataki hiyo takataka. Tunaambiwa ana mikimbio mizuri kama twiga.Sighning ya Mudryk haina shida yeyote katika level ya sporting. Yaliyotokea ya madawa yaliyokataliwa hakuna anayejua ukweli. Mudryk ni bonge la Winga na angekuwepoo leo Chelsea ingekuwa tofauti kabisa
View attachment 3618369