lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,032
Mimi mechi zote za Chelsea na Enzo Fernandez nazifuatilia sana, najua udhaifu wake na nguvu yake, najua anapokuwa yuko hovyo na anapokuwa vizuri.Makocha gani wamemtaka? si ni yeye ndio ameitaka madrid?!
Enzo ni tapeli, mchezaji mzuri hata akiwa kapu moja na matakataka kama ni mchezaji mzuri utamuona tu. Unamuona Bruno pale Nyumbu.
Uachage kufatilia mpira kwa kufuata mkumbo, eti kisa mchezaji ni £200 basi ni mchezaji mzuri! Mawakala wa mchezaji wanachezaga na akili za watu ili wapige pesa.
Mchambue mchezaji kwa jinsi unavyomuona ww, sio ukiingia mitandao ya wazungu huko ukiona wanavyomchambua mchezaji hujui wana mahaba gani na mchezaji, na ww kichwa kichwa unacopy na kupaste. ndio mana umekua ukitofautiana na watu hapa jukwaani na umeishia kuumbuka.
Tena ninapoangalia mechi sivuti bange wala kulewa Vodka au Konyagi. Kwa akili timamu kabisa namzoom na kumuelewa sio kama wewe unakurupuika tu, kila mtu anamsifia wewe unamkandia. Wako wamesomea mpira hadi PHD wanampa bei ya pauni 120m wewwe unasema takataka. Mungu anakuona hapo ulipo.
Wakati wa Pochettino alijaribu kumpiga benchi timu haielewani. Yeye ni Kama Cole Palmer hata akiwa kwenye form mbovu bado yuko bora mara 3 zaidi ya viungo tulio nao.
Enzo Fernandez ni moajwapo wa kiungo mbunifu na anayeweza kucontrol mchezo ka pasi fupi na ndefu an zenye maono. Wewe hujui mpira kabisa, unachojua sana sana ni kukandia , kukososa na kubisha tu.