Joao Pedro
Senior Member
- Oct 21, 2025
- 172
- 216
Ngoja tusubir kuona Alonso atakuja na kipya gani, maana tumeshakuwa wa kuishi kwa hopeKweli sisi ni waibua vipaji. Kwa sasa namna ya kuwatumia ndio mziki
Ngoja tusubir kuona Alonso atakuja na kipya gani, maana tumeshakuwa wa kuishi kwa hopeKweli sisi ni waibua vipaji. Kwa sasa namna ya kuwatumia ndio mziki
Alonso akipewa mda na mamlaka juu ya wachezaji anaweza kutuvusha tatizo wamiliki wana mihemko na ukuaji mwingi.Ngoja tusubir kuona Alonso atakuja na kipya gani, maana tumeshakuwa wa kuishi kwa hope
Kweli sema hataki kupelekeshwa afu maboss ndo hao kichefu chefuAlonso akipewa mda na mamlaka juu ya wachezaji anaweza kutuvusha tatizo wamiliki wana mihemko na ukuaji mwingi.
Mimi kilichoniuma pesa waliomuuza Sio kubwa yaaniCucurella huyoo madrid, Jose anamuhitaji.... mendy ni mzuri ila spana mkononi.... Alvaro anaonekana hatoshi !
Bado Enzo asepe !!!
Zile interviews zao hazikuja kwa bahati mbaya... wameshachoka kukaa darajani
Chelsea imetengeneza faida ya pauni 32m baada ya Amortisation.Mimi kilichoniuma pesa waliomuuza Sio kubwa yaani
Chelsea walikuwa wapo kwenye position nzuri ya kuumuza kuanzia pound 67M+ kutokana na ushindani wa team zilizokuwa zinamtaka kumbuka A.Madrid, Barcelona na Real Madrid zote zilikuwa zinamtaka plus mchezaji ana mkataba na team na umri wa Cucurella ni umri mzuri wa sokoni miaka 27 alafu ni mchezaji wa maana kwanini umuuze kwa hiyo bei? Team kama Brighton hapa ndipo wanakupiga kweli kweliChelsea imetengeneza faida ya pauni 32m baada ya Amortisation.
Alinunuliwa miaka 4 iliyopita kwa £63m ( £56m pesa taslimu + £7m add‑ons )
Anauzwa leo kwa £51.9m, pamoja na add‑ons
Thamani ya Marc Cucurella baada ya amortisation = £21m
Anauzwa kwa £51.9m
Faida = £31m
Chelsea wanataka nini zaidi?
Faida hiyo itatumika kuziba nafasi yake kama Xabi Alonso atasikilizwa
Wamlete hata Alejandro Grimaldo ana miaka 30 bado yuko kwenye fomu, anakuwa suluhishoi la muda mfupi ili kupisha Jorrel Hato akue akomae kiakili , kimaamuzi na kiuongozi
Mimi kilichoniuma pesa waliomuuza Sio kubwa yaani
Nadhani wamezingatia age yake.... yupo 27 anaaproch 28.....alafu yupo desperate kuondoka darajani .....
Simeone na Flick walikuwa wanatajwa kumhitaji pia
Chelsea walikuwa wapo kwenye position nzuri ya kuumuza kuanzia pound 67M+ kutokana na ushindani wa team zilizokuwa zinamtaka kumbuka A.Madrid, Barcelona na Real Madrid zote zilikuwa zinamtaka plus mchezaji ana mkataba na team na umri wa Cucurella ni umri mzuri wa sokoni miaka 27 alafu ni mchezaji wa maana kwanini umuuze kwa hiyo bei? Team kama Brighton hapa ndipo wanakupiga kweli kweli
Team ikianza kufunga vizuri watajutaView attachment 3608292
Reece James ni mtu makini.
Hii timu haina watu makini kwenye maamuzi, kupata mchezaji mwenye uwezo angalau 50% ya Cucurella tutahitaji si chini ya £50milChelsea walikuwa wapo kwenye position nzuri ya kuumuza kuanzia pound 67M+ kutokana na ushindani wa team zilizokuwa zinamtaka kumbuka A.Madrid, Barcelona na Real Madrid zote zilikuwa zinamtaka plus mchezaji ana mkataba na team na umri wa Cucurella ni umri mzuri wa sokoni miaka 27 alafu ni mchezaji wa maana kwanini umuuze kwa hiyo bei? Team kama Brighton hapa ndipo wanakupiga kweli kweli
Mimi wamenishangaza sana kulikuwa na uharaka gani wa kuuza kwa hiyo bei as if ni bei ya maana kwa kweli wamenikwaza sana nakuambia tu huyu Cucurella angekuwa ni Man city au Madrid asingeuzwa bei tuliuza sisi mfano mzuri Alvaro Morata na kovacic japo walikuwa Sio regular kwenye team ya Madrid lakini waliuzwa bei ya juu kuja kwetuHii timu haina watu makini m
Hii timu haina watu makini kwenye maamuzi, kupata mchezaji mwenye uwezo angalau 50% ya Cucurella tutahitaji si chini ya £50mil
Bei za sasa hivi ni za moto wachezaji wanaowika game 10 wanauzwa mpaka £70m
Barcelona wasingetoa hiyo pesa; Real Madrid wametoa na hata Atletico Madrid wasingetoa.Chelsea walikuwa wapo kwenye position nzuri ya kuumuza kuanzia pound 67M+ kutokana na ushindani wa team zilizokuwa zinamtaka kumbuka A.Madrid, Barcelona na Real Madrid zote zilikuwa zinamtaka plus mchezaji ana mkataba na team na umri wa Cucurella ni umri mzuri wa sokoni miaka 27 alafu ni mchezaji wa maana kwanini umuuze kwa hiyo bei? Team kama Brighton hapa ndipo wanakupiga kweli kweli
Bado sababu zako za Cucurella kuuzwa kwa hiyo Bei hazina mashiko, mbona kovacic tulimnunua kwa Bei ya juu akiwa tena sio first eleven ya Madrid? Kumbuka Cucurella ni key figure wa team na first starter tegemeo wa team ya Taifa ya Spain na ni experience player huo uharaka wa kumuuza Chelsea wameupatia wapi wakati mchezaji ambaye anauzika sokoni kama umri umesema una matter kwani Harry Kane kauzwa kwenda Bayern akiwa na miaka mingapi tena kwa Bei nzuri kama umri ulikuwa ni kikwazoBarcelona wasingetoa hiyo pesa; Real Madrid wametoa na hata Atletico Madrid wasingetoa.
Hizo sababu zinaipunguzia Chelsea nguvu ya negotiation kwenye bei tofauti na Enzo Fernandez ambaye kwa upande wake
- Cucurella form yake ilishuka tangu January
- Cucurella amebakiza miaka miwili ya mkataba, hiyo huwa inaitwa danger zone kwa timu inayouza mchezaji
- Cucurella mwezi ujao anatimiza miaka 28, anaaga prime age na sio ajabu kashaaga tangu January 2026
- Cucurella alishatingisha kiberiti kwamba anataka kurudi nyumbani kwa ajili ya kuwa karibu na familia
- Cucurella hakuwa happy, alikosoa timu kwa kumruhusu Maresca kuondoka katikati ya msimu na hivyo kuwavuruga kimfumo
- Mbadala wa Cucurella tayari yuko Jorrel Hato amekiwasha vizuri tangu january na hivyo timu haitapata shida sana kumreplace
Kwa sababu hizo Chelsea ilikuwa kama Msichana aliyepita umri wa kuolewa kwa hiyo akija mwanaume yeyote kumab kumba
- Form yake iliimarika zaidi hata baada ya kuondoka kwa Maresca January
- Enzo amebakiza miaka 6 ya mkataba, hiyo kuipoa Chelsea ujasiri na jeuri ya kutaja beio yeyote
- Enzo ana miaka 25 tu
- Mbadala wa Enzo hayupo na kuwapata sokoni ni ghali sana
- Enzo yeye hana haraka ya kuhama kwani Spain sio nyumbani kwake japo amesifia mji wa Madrid
Tukubaliane hukusoma sababu zangu, zina tofauti mkubwa sana na za KovacicBado sababu zako za Cucurella kuuzwa kwa hiyo Bei hazina mashiko, mbona kovacic tulimnunua kwa Bei ya juu akiwa tena sio first eleven ya Madrid? Kumbuka Cucurella ni key figure wa team na first starter tegemeo wa team ya Taifa ya Spain na ni experience player huo uharaka wa kumuuza Chelsea wameupatia wapi wakati mchezaji ambaye anauzika sokoni kama umri umesema una matter kwani Harry Kane kauzwa kwenda Bayern akiwa na miaka mingapi tena kwa Bei nzuri kama umri ulikuwa ni kikwazo
Ninyi mngeajiriwa na Chelsea mtakuwa bonge la SD, mnajua sana kandanda na uskauti wa wachezaji 😂 😂 😂Maelezo mengi kutetea kuuzwa kwa Marc, .kubalini mmejichanganya tu...... kupata replacement yake sio rahisi !"
Hatto bado huwezi kumtegemea ndio LB wako, bado anakuwa, ana makosa mengi sana ! Jaribuni pale Newcastle kwa "Hall" mtaambiwa €75m.
Tena kaondoka kipindi cha mpito, mpo kwenye project !
Majirani tunafurahi kibanda cha mwenzio kikiungua
Ni kama vile unawaambia wadau "Mimi (Lembu) ndio nimeajiriwa na Chelsea kwa sababu ni bonge la SD, najua sana kandanda na uskauti wa wachezaji"Ninyi mngeajiriwa na Chelsea mtakuwa bonge la SD, mnajua sana kandanda na uskauti wa wachezaji [emoji23] [emoji23] [emoji23]