arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,360
- 4,408
Mnataka kumuuzia nani haya matatizoš¤ š¤ ....wale wahuni wa ureno waliwachapa pesa ndefu kwlikwli....na bdo nadhani hamjamaliza kulipa hadi leo....hyu mbaki nae aje kuwa anacheza na kina Hull city mechi moja kwa wiki msimu ujao....ndo vtu anavyoweza....Huyo hapo Enzo kafanya hivi leo
View attachment 3594453