Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_8401.jpeg
 
Kuna siku huyu mwamba aliyekuja bungeni leo [Didier] aliongea

"I'm no longer recognise my club " Aliona mbali sana kwa kuongea vile
 
Huwezi mfukuza tactical Rosemary ukategemea kocha muda wote kama ana usingizi kubababake
 
Attachments

  • Screenshot_20260504-191545_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260504-191545_SportyBet.jpg
    167 KB · Views: 15
Wakati yanajidai kwamba yanafungwa na City ili Arsenal isichukue kombe nilipoint ishu ni uwezo wala siyo kisingizio cha Arsenal kuchukua ubingwa.

Rekodi ya kabla ya hiyo mechi ilikua ya hovyo.

Baadaye wakadai wachezaji hawamtaki kocha. Rosemary kaondoka sasa hata Palmer anakosa penati.

Mazenge
 
Kuna watu wananisumbua kuhusu masuala ya Chelshit, muwaambie mimi niko mkopo Man city hadi mwishgo wa msimu, tutaonana preseason na wasipofanya usajili mzuri wa kocha na wachezaji mimi nitafanya mkopo wangu wa Man City kuwa Parmanent loan. SITANII! 🙁
 
Du!?? Chelsea yangu inatia huruma. Anyway niliipenda mwenyewe ngoja nivumlie " No permanent situation"
 
Mamamaee hivi hii ni timu au kikundi cha wapiga nyeto ? , Chelnyeto .Kum@ la màmako Eghbali ,Toddy ,clearlake capital na FA mbwa niñyi kwa kuihujumu Chelsea , Timu ilitakiwa kubaki kwa Abrahmovich maanina
 
Arsenal imeshabeba kombe, tujiandae kisaikolojia
Mechi zilizobaki
Arsenal’s last 3 games (76pts)
  1. Westham,
  2. Burnley,
  3. Crystal palace
Mancity’s last 4 games (71pts)
  1. Brentford,
  2. Crystal Palace,
  3. Bournemouth,
  4. Aston villa
Arsenal anabeba point zote wakati Man City naona gemu kama moja au mbili atachapia
Arsenal atabeba kombe akiwa na mechi moja mkononi
 
Kuna watu wananisumbua kuhusu masuala ya Chelshit, muwaambie mimi niko mkopo Man city hadi mwishgo wa msimu, tutaonana preseason na wasipofanya usajili mzuri wa kocha na wachezaji mimi nitafanya mkopo wangu wa Man City kuwa Parmanent loan. SITANII! 🙁
Si hua tunasema chelsea imeundwa na plastic fans hua wanabisha? Zee la essay limesema ukweli wake.
Hawa wengine wameshahama ila kusema wanaogopa.
Timu imeanzishwa mwaka 2000 itatoa wapi mashabiki kama siyo mamluki. Na huko City Arsenal tutahakikisha unahama.
 
80+% ya mashabiki wa Arsenal walikuwa mkopo muda mrefu sana. Wengine ndio wamerudi juzi juzi tu na wengi wao wameamua kuwa parmanenmtly trasnfered to Man City na baadhi walikuja Chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom