lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,032
Chelsii watalipa kombe la dunia walilobeba tena kwa kuwakatili PSG ambayo ndio ilikuwa timu nzuri
Chelsii watalipa kombe la dunia walilobeba tena kwa kuwakatili PSG ambayo ndio ilikuwa timu nzuri
Kuingia final ushamba kama wote hii ni ajabu ndio hulka za middle team
Kuingia final ushamba kama wote hii ni ajabu ndio hulka za middle team
Bado naiona nafasi pale juu wakuuNaiona nafasi kule chini
Siku mtakayokuja kugundua hyu ndo mchawi wenu mnatakiwa kumtoa mbio mtakuwa mshachakaa vya kutosha....pale hata mlete nani....shida ni hyu tapeli
Hi ndo maana halisi ya ligi boraMakombe yote yanaweza kuja Uingereza?
- UCL: Arsenal vs. PSG.
- UEL: Aston Villa vs. Freiburg.
- UECL: Crystal Palace vs. Rayo Vallecano.
hii gemu ya leo Chelsea anashindaLeo mapema tuu, naiona nafasi pale chini 😂
Tupo 😂hii gemu ya leo Chelsea anashinda
Team ndogo ndio zinazofurahia kuingia final kama vile zimebeba ubingwa
Team ndogo ndio zinazofurahia kuingia final kama vile zimebeba ubingwa
mkuu nimebadili mawazo kitambaa kinatosha sareTupo 😂