Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mshawekewa viwili huko, na Wachezaji muhimu wamepumzishwa....
Chris Wood
Anderson Elliot
Morgan Gibbs

Lengo ? Wanaitaka Europa, hapa kwenye ligi ni kama hawashuki tena ... wanahitaji point moja tu kujihakikishia kubaki !

Westham na Spurs ndo wanapambana mmoja abaki
 
IMG_8401.jpeg
 
Kuna siku huyu mwamba aliyekuja bungeni leo [Didier] aliongea


"I'm no longer recognise my club " Aliona mbali sana kwa kuongea vile
 
Huwezi mfukuza tactical Rosemary ukategemea kocha muda wote kama ana usingizi kubababake
 

Attachments

  • Screenshot_20260504-191545_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260504-191545_SportyBet.jpg
    167 KB · Views: 15
Wakati yanajidai kwamba yanafungwa na City ili Arsenal isichukue kombe nilipoint ishu ni uwezo wala siyo kisingizio cha Arsenal kuchukua ubingwa.

Rekodi ya kabla ya hiyo mechi ilikua ya hovyo.

Baadaye wakadai wachezaji hawamtaki kocha. Rosemary kaondoka sasa hata Palmer anakosa penati.

Mazenge
 
Kuna watu wananisumbua kuhusu masuala ya Chelshit, muwaambie mimi niko mkopo Man city hadi mwishgo wa msimu, tutaonana preseason na wasipofanya usajili mzuri wa kocha na wachezaji mimi nitafanya mkopo wangu wa Man City kuwa Parmanent loan. SITANII! 🙁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom