juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Chelsea wana wakurugenzi watano wa michezo (SDs) pamoja na angalau mmoja wa wamiliki mwenza ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya soka. Kwa hiyo kocha yeyote anayehitaji mamlaka kamili juu ya timu asahau kabisa.
@Matt_Law_DT
Tunazunguka eeh ila tusahau swala la kocha Hatafuti mmiliki wanaotafuta ni SD same kwa wachezaji mmiliki ni kama amekupa funguo wewe ametala team yake iwe abcd na wewe kwakuwa ndio mtu wa mpira unao uwezo wa kufollow plan hiyo hiyo au ukashauri.
Kwa swala la Kocha SD ndio wanaotafuta kocha mmiliki yeye ni kuridhia kama SD wameridhia. Kama watu wasingeluwa wanaelewa wangeeondoka mapema mfano mzuri ni Vivel alimtaka Naglesman ila watu ikawa tofauti akasepa zakd.
SD ndio wanaofanya shortlist na interview mmiliki yeye ni kukubal suggestion za SD kocha huyu anafaa au hafai, mchezaki huyu anafaa au hafai then owner nae anaridhia