Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumbuka Maresca alipewa Mamadou Sarr tangu CWC kama mbadala wa Colwill akakataa kumtumia ndio akapelekwa mkopo Strasbourg na Marseca alijua atarudishwa January ndipo akaamua kutimua mbio.
Lembu matajiri wanazingua ila SD nao wanazingua unaqeza fata plan yote ya matajiri kusajili wachezaj wazuri bila hata kuleta wa hovyo

Rayan Cherki anamiaka mingapi??? Semenyo anamiaka mingapi,Xavi Simmon etc

Inshort wachezaj wazuri chini yamiaka 25 wapo ila tuliamua kupoteza hela na hiyo ni swala la SD
 
Hatimae Leo mmescore , baada ya kitambo kirefu ! Bado mnaruka ruka ! Hakuna timu hapa ! Hata aje kocha mwenye profile gani , kikosi ni hewa !!!

Wamiliki na SDs ndo changamoto kwenu.....project hewa... mnahitaji reshuffle ya kuanzia uongozi hadi timu
 
Halafu wanaenda kutoa mabilioni kwa mwanasesere Garnacho
Je hapo unalaumu Matajiri au SD????

Ni sawa sawa leo hii tumuappoint Iraola ambae ni Poch v2😂😂 system yake na player tulip nao ni tofauti, Utalaumu Wamiliki??

Inshort hii team sasa hivi inanendeshwa kwa kujuana,Kama una kaconnection kokote kale basi unanafasi kubwa ya kupata
 
hawa ndio makocha nahisi nibora kwa sasa ambao tunaweza wapata
Xabi Alonso
Luis Felipe
Seb Hoeness
Cesc Fab

Ila chance ni ndogo maana hawa wote sio wa yes Man kama Rosenior hivyo tutaangukia kwa kina Marco Silva au Iraola ambao ni Yes man
 
Marco Silva ni koach mzuri kama akipata project nzuri....pia afanyiwe sajili anazozihitaji !!

Iraola, ni makocha ambao wanaweza kufanya kazi kwenye mazingira magumu, ufinyu wa bajeti na waka-deliver (moyes type ) changamoto za makocha wa aina hii hawana uzoefu na timu kuhwa, hawawezi kuhimili presha pia
 
hawa ndio makocha nahisi nibora kwa sasa ambao tunaweza wapata
Xabi Alonso
Luis Felipe
Seb Hoeness
Cesc Fab

Ila chance ni ndogo maana hawa wote sio wa yes Man kama Rosenior hivyo tutaangukia kwa kina Marco Silva au Iraola ambao ni Yes man
Vipi kuhusu Xavi
 
Lembu matajiri wanazingua ila SD nao wanazingua unaqeza fata plan yote ya matajiri kusajili wachezaj wazuri bila hata kuleta wa hovyo

Rayan Cherki anamiaka mingapi??? Semenyo anamiaka mingapi,Xavi Simmon etc

Inshort wachezaj wazuri chini yamiaka 25 wapo ila tuliamua kupoteza hela na hiyo ni swala la SD
Hao wote Chelsea iliwafukuzia lakini wachezaji walipenda kwenda City. Chelsea haiana mvuto tena. The project of kids mtu gani mzima atataka? Hata hawa waliopo wanatamani kutoka
 
Andoni Iraola bwana YESman ataishia kusajiliwa, tusubiri tuone
 
  1. Xavi Alonso
  2. Cesc Fabregas
  3. Julian Nagglesmann
HAWATAKUBALI KUJA CHELSEA
FORGET ABOUT IT!
 
Andoni Iraola bwana YESman ataishia kusajiliwa, tusubiri tuone
Iraola au Marco Silva hakuna tofauti hapo tuendelee na maumivu.

Unawachezaj wa style nyingine then unaleta kocha wa style nyingine😂

Inshort tunaSD ambao ni incompentent kwenye kuongoza team kubwa na ndio maana wanachase makocha wa mid table kwa sababu ni ngumu sana kumshawishi kocha wa team kubwa aje kwako.

Club ikishaanza fata mfano wa Brighton basi hakuna maajabu hapo kama ndio blueprint basi tutatendelea kulia siku
 
Hao wote Chelsea iliwafukuzia lakini wachezaji walipenda kwenda City. Chelsea haiana mvuto tena. The project of kids mtu gani mzima atataka? Hata hawa waliopo wanatamani kutoka
Mkuu hawa SD wanapenda sana PR amini katika hilo kuwafukuzia sidhani kama ni sentens sahihi zaidi ya kutaka kuonekana kama walifanya juhudi mbele ya fans, Summer nzima unamzungumzia Xavi Simmon halaf ukaenda kwa Garnacho kama ndio priority
 
Andoni Iraola kufanya vizuri Bournemouth haimaanishi kwamba anafaa kwenye mradi wa Chelsea. Kiuhalisia, yeye ni Liam Rosenior toleo la 2.0; kocha anayejenga mfumo wake juu ya mbio nyingi na matumizi makubwa ya nguvu za wachezaji. Huo si mfumo unaolingana na kikosi cha Chelsea, na ungeongeza tu idadi ya majeraha ambayo tayari yametutesa kwa misimu kadhaa.

Wamiliki wa Chelsea bado hawajifunzi. Kila mara wanachukua makocha ambao falsafa zao hazilingani na aina ya wachezaji tulionao, halafu wanashangaa mambo yanapoharibika ghafla.

Kinachohitajika sasa ni kocha wa kiwango cha juu mwenye sifa kama za Maresca — mtu anayejenga mfumo tulivu, nidhamu uwanjani, na udhibiti wa majeruhi. Chini ya Maresca, kikosi kilipata balance, na hata wachezaji wetu wanaopata majeraha mara kwa mara waliweza kudhibitiwa vizuri kwa sababu mfumo wake ulihitaji akili na nidhamu zaidi kuliko kukimbia ovyo.

Kama wamiliki wanataka mafanikio ya muda mrefu, lazima waache kusaka “project coach” wa kusisimua na badala yake wamuajiri meneja anayolingana na wachezaji tulionao na si upumbavu wanaojaribu kulazimisha kila wakiajiri kocha.

View attachment 3577713
Hawa wapumbavu waache ego ,wamrudishe maresca na wampe muda na kila resource anayotaka ajenge timu ya kushindana na Kubeba vikombe ,Kazi ibaki kwake na so huu upumbavu wa Ku taka kuwa na makocha vibaraka wasio na misimamo .kulikuwa Hamna haja ya kufukuza THOMAS Tuchel au Maresca ,Yale yalikuwa ni maamuzi ya ovyo Sana
 
Rosemary shwaaaaaaaaaah

Hawa wapuuzi wa USA walifanya makosa kumfukuza Tuchel, wakarudia kosa kumfukuza Maressa.

Ngoja tuone watatuletea janga gani lingine
Wanakera kiseng£ ,na hao ni makocha wa misimamo na timu ishaanza kupata balance kabisa katika nyakati zao na walitoka kutwaa makombe
 
Lini top club inakuwa na list za makocha 10 na kila kocha unamuhojk?

Inshort tuna watu ambao hawajui kuongoza top club, Watu wanaolewa wangekuwa washajua tuna wachezaj wanamna hii na yupo ni kocha available ambae tunaweza mpata.

Wakat wa roman makocha kama Ancelloti, walikuwa kwenye team ila stil tuliweza kuwatoa ni kwasababu ya namna ya watu tuliokuwa nao ila sasa hiv ni utapeli na watakuja makocha wengi wa team ndigo na wataondoka kwa sababu wanaofanya maamuzi hawatak kukubali kwamba SD na wanashida
 
Chelsea wana wakurugenzi watano wa michezo (SDs) pamoja na angalau mmoja wa wamiliki mwenza ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya soka. Kwa hiyo kocha yeyote anayehitaji mamlaka kamili juu ya timu asahau kabisa.

@Matt_Law_DT

1777384485543.png
 
Lembu matajiri wanazingua ila SD nao wanazingua unaqeza fata plan yote ya matajiri kusajili wachezaj wazuri bila hata kuleta wa hovyo

Rayan Cherki anamiaka mingapi??? Semenyo anamiaka mingapi,Xavi Simmon etc

Inshort wachezaj wazuri chini yamiaka 25 wapo ila tuliamua kupoteza hela na hiyo ni swala la SD
Chelsea wana wakurugenzi watano wa michezo (SDs) pamoja na angalau mmoja wa wamiliki mwenza ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya soka. Kwa hiyo kocha yeyote anayehitaji mamlaka kamili juu ya timu asahau kabisa.

@Matt_Law_DT

View attachment 3580860
 
Kwa hii team hatuwezi kupata mtu atakae weza wachallange wale SD

Team gani kubwa ushawah ona ina SD wawili na wote kutoka team ndogo?
Chelsea wana wakurugenzi watano wa michezo (SDs) pamoja na angalau mmoja wa wamiliki mwenza ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya soka. Kwa hiyo kocha yeyote anayehitaji mamlaka kamili juu ya timu asahau kabisa.

@Matt_Law_DT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom