Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sarr, Sanchez na Andrey Santos wametupwa benchi
Cucurella yuko Benchi

Aston Villa vs Chelsea

4-2-3-1

--Joao Pedro--

Garnacho --- Enzo --- Palmer

James (C) --- Caicedo

Hato — Chalobah — Fofana — Gusto

--Jorgensen--

Bench
  • Sanchez
  • Tosin
  • Badiashile
  • Cucurella
  • Sarr
  • Lavia
  • Santos
  • Delap
  • Guiu

#CFC | #AVLCHE
1772648715357.png
 
Joao Pedro's first hat-trick kwa Chelsea
Aston Villa 1 - 4 Chelsea
Nilisemaga hii timu ya Aston Villa haina mchezo wowote mzuri, wamefunga timu kiujanjaujanja hadi wakakwea juu kwenye nafasi isiyo yake
Sasa wanaporomoka chini
1772658372627.png
 
Mechi imeisha na sasa tunaweza kuendelea tulipoishia
Aston Villa 1 - 4 Chelsea
1772660263744.png
 
Joao Pedro's first hat-trick kwa Chelsea
Aston Villa 1 - 4 Chelsea
Nilisemaga hii timu ya Aston Villa haina mchezo wowote mzuri, wamefunga timu kiujanjaujanja hadi wakakwea juu kwenye nafasi isiyo yake
Sasa wanaporomoka chini
View attachment 3552595
Jana Chelsea ilicheza kama timu. Idara karibu zote zilicheza vizuri. Garnacho alichezeshwa in the right way na ona alivyoperform. Ninaamini hata Gittens atacheza vizuri sana ikiwa Chelsea ikiendelea kucheza kama timu hivi hivi.
Nitolee mfano Garnacho wakati hachezi vizuri.
Anapewa mpira mbovu au kama ni mzuri anapewa akiwa pekee yake (Isolated) na hakuna mchezaji wa Chelsea anayemfuatilia ili kumsaidia. au kukaa seheemu nzuri ya kupasiwa. Hii ilikuwa tofauti jana. Chelsea ilicheza kama Strasbourg, klabu dada ya Ufaransa ambao kwa kweli wananikosha mimi jinsi wanavyocheza kama timu na kushirikiana kusaidiana na kujitoa
 
Mbaga kapotea kama upepo yaani dk ya 5 tu ushaanza kulaumu wachezaji na kuitukana timu 😅😅😅
 
Nawaza kama Sanchez au Jorgensen angefungwa goli lile la kisigizo alilofungwa jana Man City sijui angeepuka matusi gani humu ndani
 
Niliwahi kusema msimu huu Arsenal ni designated PL winner. Anajitahidi kucheza ila ana matukio mengi yanayo mfavour na yanapita
 
Leo hii ghafla Chelsea haijui kwamba kuna ball hand na hand ball. Hawajui kwamba hua inaangaliwa dhamira kabla ta kuucheza mpira.

Our bitches
Ajabu ni kwamba sio Chelsea peke yake ni wadau wote wa mpira mpaka marefaree wanasema. Wewe peke yako ndio unakataa kwa kuwa inavutia kwako wakati huu.
 
Ajabu ni kwamba sio Chelsea peke yake ni wadau wote wa mpira mpaka marefaree wanasema. Wewe peke yako ndio unakataa kwa kuwa inavutia kwako wakati huu.
Kwenye hizi ishu naweza kukuletea rundo la matokeo yaliyokua against kwa Arsenal na watu wakatulia maisha yakaendelea.

Tushapata unfair red cards, kipa kashazuiwa asidake, tushanyimwa penati, tushaconcede penati za uongo na marefa wastaafu wakasema.
 
Nawaza kama Sanchez au Jorgensen angefungwa goli lile la kisigizo alilofungwa jana Man City sijui angeepuka matusi gani humu ndani
Sanchez ni mzuri kuliko Jorgensen
Na hapo sasa utaona wazi kuwa Chelsea inamuhitaji golkipa mwingine
Yale magoli ya Arsenal, Sanchez ndie angekuwa David Raya angeokoa ila kwa vile alikuwa ni Sanchez, tulifungwa kizembe sana, Japo pia na mabeki wetu an timu nzima hawajui kudefend set pieces hasa mipira ya kona
 
Leo hii ghafla Chelsea haijui kwamba kuna ball hand na hand ball. Hawajui kwamba hua inaangaliwa dhamira kabla ta kuucheza mpira.

Our bitches
Rice alipomkaba Hato alikuwa na dhamira gani? maana kabla hatujaenda kwenye handball tuanzie hapo kwenye ukabaji
 
Kwenye hizi ishu naweza kukuletea rundo la matokeo yaliyokua against kwa Arsenal na watu wakatulia maisha yakaendelea.

Tushapata unfair red cards, kipa kashazuiwa asidake, tushanyimwa penati, tushaconcede penati za uongo na marefa wastaafu wakasema.
Mmetulia na maisha yakaendelea kwa sababu mmekwapua haki za wengine
 
Enzo Fernández akachukua usukani, akamchezesha Malo Gusto kwa ustadi, Gusto akamtengenezea João Pedro mpira wa kumalizia kwa tapping maridadi. Na kweli, yule Enzo wa enzi za Pochettino ameonekana kurudi uwanjani—mwenye ubunifu, utulivu na ushawishi mkubwa kwenye mchezo.

Aston Villa 1 -1 Chelsea

Similar Discussions

Back
Top Bottom