Sheria za EPL ni za kijinga kweli
Dominik Szoboszlai kamvuta shati Erling Haaland ili asiwahi mpira naye Haaland akamvuta shati Szoboszlai asiwahi kwenda kuuokoa mpira wa Cherki uliokuwa uinaelekea wavuni taratibu.
Hata hivyo mpira uliendlea kwenda na kuingia wavuni.
Sasa shida yangu inakuja pale Dominik Szoboszlai alipopewa red card akiambiwa kuwa amemzuia Haaland asiende kufunga goli wakati goli lilishaingia na sio Haalnd kafunga
Kosa la pili, goli halali la Cherki likafutwa na kuwa free kick
Hapo sheria iboreshwe kwa kweli