Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Dah! Ukiwa shabiki wa THE BLUES raha sana aisee!
mkuu mie sikupi pole manake mechi iko half way,ila jiandaeni kucheza mpira sana,manake hawa jamaa ni timu ndogo kwa jina ila "ingredients" za kikosi ni full of CL mercenaries.Kumfunga Chelsea goli tatu si jambo dogo kaka.Wanao uwezo.Na hofu yangu ipo kwenye uwezo wenu wa kuwazuia wasiguse nyavu pale darajani.Ngoja tuone kama unastahili hongera au pole!
Ntuzuuuuuuuuuuuuuuu.....hongeta zako kijana. Japo Psg game wameharibu wenyewe. Walienda kulinda goli bila akili mbadala
Teh Teh Teh Teh...!
Hapo nimecheka kama Ntuzu...
Natoa pongezi za dhati kwa wafurukutwa wa uzi huu...!
Bahati ilikuwa upande wenu...heko kwa ustaadh Ba.
Uyo ndio Pdidy..sawa mdau lakini sio de mbaba ni demba ba...