Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yani ata Mimi tian coz Nimekua nasema sn humu kila Siku lkn Watu wabishi!

Just see! We've done it without Hazard!


Teh Teh Teh Teh

Tena usiseme hivyo... you never know Hazard angaweza kuharibu coz unajua yule mjerumani ni ngangali na hii gemu ndo saizi yake.

Hongereni sana ndugu zangu...mmeiwakilisha EPL coz huu mwaka ulionekana mgumu sana kwa England.
 
Last edited by a moderator:
10253881_380400398769395_769421866880621630_n.jpg

nimecheka sana na hii picha, croissant ni kama mikate flani hivi ni maarufu sana huku france
jamaa wanaipenda sana, ni hii hapa chini

croissant1-enlarge(07czf3).jpg
 
sasa kinachowakasilisha nini..!? wakati nyie mnatimu zenu nasi tuna timu yetu, watu wamenuna kama wamefungwa wao na mkiambiwa kwanini mlikuwa mnashangilia PSG hamna hata sababu ya maana..!?
go special one..!?
go chelsaaaa....!?
go baaaaaa......!?
 
Tena usiseme hivyo... you never know Hazard angaweza kuharibu coz unajua yule mjerumani ni ngangali na hii gemu ndo saizi yake.

Hongereni sana ndugu zangu...mmeiwakilisha EPL coz huu mwaka ulionekana mgumu sana kwa England.


Unajua Mara nyingi hua mjadala hazard ndio kila kitu! Na Mimi nawambia kwa chelsea kila mtu ni muhimu!

Leo Mmeona mpk Ba katupia! Lkn kutwa mnasema tunaua wachezaji
 
Kwahiyo mnakutana na Real Madrid sivyo?

Itakuwa vita...JM na Ancelot.



Sijafahamu km itakua hivyo! Lk ningependa Iwe hivyo Ili game ivutie Zaidi kwa kila kocha na wachzaji pia! Ingawa sisi Chelsea tutamkosa Ivanovic Lkn Cole atakuwepo!
 
Mimi niliamini atamtoa psg ila matumaini yalipotea hadi dakika ya 88 walipofunga goal ndo nikaamini.
Hongera kwa Chelsea fans, Manager, Players
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom