COCKINGTON
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 222
- 59
Hongera mashabiki wa ze bluz mmefanikiwa kwenda nusu fainali
Mpira wa Chelsea hauna mvuto..
haya chelsea kapita. naona harufu ya timu nyingine ya england kushinda kesho.
Hongera kumbe na ww unajua kiingereza,,,,,,,,,,,,,same final.Chelsea are through to same final
Mkuu umefufuka? Mbona Ktk uzi wenu kule Yuko Mbu peke yake?
Kivipi
hakuna aliyekubeza acha kuchachawa wewe
Nilishasema mechi itakua ngumu hii.
Man U....
Mtamfunga 2-1 au 3-2 au 4-2 and you know what will happen after that...
Hongera kumbe na ww unajua kiingereza,,,,,,,,,,,,,same final.
Chelsea wanajitahidi sana, ila hawatatoka!!! Hii ni kibla nyingine leo.
Mkuu kweli mpira dk 90,sikuamini macho yangu.Asante Mkuu!
Dahhh, ....mmevuka aisee! hongera zenu.
Subs za Mourinho huwa haizmtupi kipindi cha kiangazi
kama game ya leo, tactically ndio huwa namu admire kwa hilo...
so next game labda mnakumbana na Madrid ee?...
#AcheniLotte Vs #Moureen what a history!....