Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

0,,10268~12741621,00.jpg
 
haya chelsea kapita. naona harufu ya timu nyingine ya england kushinda kesho.

kiarabu icho, leo walikuwa wanachonga sana sasa kesho zamu yao.
"samahani jamani kesho nitahamia bayern kwa mkopo".
 
Wabishi tunasonga kibishi....
hizi mechi ngumu ndo zinatupa mizuka....
...ktbffh....
 
Kama kuna kocha amenikuna Leo ni morinyo akupaki basii. Kaamuuua kujaza wadhambuliaji liwalo na Liwe
Hatimae na Yule dogo wetu Dr D e mbaba Leo ametusaidia kuingia nusu final ya UEFA

Ilikuwa mechi ngumu na ya kuvutia hatimae
wachezaji wa Psg wakakosa
Billin Moja kila mtu walizoaidiwa

BWana ametoa Morinyo Ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Ntuzuuuuuuuuuuuuuuu.....hongeta zako kijana. Japo Psg game wameharibu wenyewe. Walienda kulinda goli bila akili mbadala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom