Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,819
- 9,256
Joao pedro wa moto.
Kipindi cha kwanza ilikuwa ni Westham A vs Westham BGarnacho vs Wan‑Bissaka
Hato vs Bowen
Gittens vs Souček
Summerville vs Gusto
HT
Chelsea 0–2 West Ham
Tumestahili kuwa nyuma.
Mabadiliko yalikuwa mengi kupita kiasi bila sababu.
Katika mechi zote Garnacho alizocheza Chelsea hii ya leo kacheza hovyo sana hadi inauzi
Jorrel Hato sijui alikuwa anafanya nini?
Wewe mbuzi ndafuKenge kbsa nyie
Pigweni tu hakuna namna afu kipigo kingine kinawasubiri jumanne
Huyu ni bonge la kocha wazee. Sijui wachezaji walienda kuvuta bangi kwanza?Tuahitaji kocha aggressive namna hii, siyo umeshafungwa bado unacheza mpira rojorojo.
Hawa wachezaji sio, na hawatakuwa, wachezaji wa kuanza kwenye timu ya Chelsea angalau ndani ya misimu miwili. Liam Rosenior anatakiwa kuelewa hilo. Wote hawa wanapaswa kuingia kutokea benchi pale ambapo tumeshaua mchezo tayari.Quantity ✅️
Quality ❎️
Makocha wanaweza kweli kuwa average but tuna lundo la wachezaji below average. Refer timu ya kipindi cha kwanza na cha pili
Jackson angekuwa muingeleza au hispania angeimbwa sana, huyu delap hafiki hata nusu ya ubovu wa JacksonHivi huyu Liam Delap ana tofauti gani na yule mhindi anayeitwa Armando Broja
Nilichokiona kwake leo ni kusukuma na kuwapiga vibega wachezaji wa West Ham. Hakukuwa na chochote zaidi. Striker asiye na faida.
View attachment 3537131
Delap hamsogelei hata kidole kimoja cha Nicolous Jackson. Jackson akishindwa kukupa magoli anacheza anasumbua defence anatengeneza nafasi kwa wengine. Ila huyu, kinachomuweka Chelsea ni Uingereza wake tu na sasa tuna kocha Muingereza ndio basi tenaJackson angekuwa muingeleza au hispania angeimbwa sana, huyu delap hafiki hata nusu ya ubovu wa Jackson
Ahsante sanaHongereni the blues
Walikuwa active kipindi cha kwanza wakati Westham A inacheza na Westham BMzee wa takataka, tatizo matokeo yakiwa kama leo hivi ni kama haupendezwi maana hauji kabisa kuchangia ila matokeo yakiwa kama yalivyokuwa halftime vile ni kama ndo furaha yako nashindwa kuelewa kama ni shabiki kweli wa chama letu pendwa ze blues au huwa unacomment nyakati ambazo una hasira tu
Ngoja tuwacheki liva kwanza huenda na wao wanacheki hiyo mechiWalikuwa active kipindi cha kwanza wakati Westham A inacheza na Westham B
Sasa wanaume Chelsea FC imeingia kucheza na Westham A na comeback ya kiume wamepotea, hapo ndio mimi nawashngaa sana. Ndio maan nina wasiwasi kama wote humu tunaosema Chelsea Chelsea kama ni wafuasi wa Chelsea kweli
Kwa maana walioitwa ni wengi bali wateule ni wachache
- Mathayo 22:14
Ile profile picture yako ya Didie Drogber ilikuwa inapendezesha sana hili jina.Tuahitaji kocha aggressive namna hii, siyo umeshafungwa bado unacheza mpira rojorojo.
Ila Garnacho, Delap, Badiashile, Chalobah ni utapeli sijawahi kuona. Kocha ana mzigo mzito sana kusajili wachezaji wanaojielewa.Huyu ni bonge la kocha wazee. Sijui wachezaji walienda kuvuta bangi kwanza?