Badiashile anampasia Hato anapeleka kwa Chaloba anapeleka kwa Sanchez, Sanchez anarudisha kwa Chaloba anampa Hato anapeleka kwa Badiashile anarudisha kwa Sanchez wanaendelea na mzunguko huo huo tena, hata kama tunae Dorku huo mpira unamfikia saa ngapi?!YES na ndio maana mashabiki wengi walitofautiana sana kuhusu usajili wa Garnacho kwa sababu huyo hawezi kabisa kupiga chenga ili kupeleka mipira golini kutokea pembeni. Gittens anaweza ila maamuzi yake bado ya kitoto sana. Sancho pekee ndie aliweza lakini tulimshindwa kwa sababu ya mshahara.
Mtu mwingine aliyekuwa anaweza nu Mudryk kabla hajafungiwa.
Akija Giovani Quenda akaungana na Estevao Willian ngoma itanoga huko kwenye wingers
Kocha kawaweka benchi james na cucurella kwa pamoja.😂Garnacho vs Wan‑Bissaka
Hato vs Bowen
Gittens vs Souček
Summerville vs Gusto
HT
Chelsea 0–2 West Ham
Tumestahili kuwa nyuma.
Mabadiliko yalikuwa mengi kupita kiasi bila sababu.
Kipindi cha kwanza ilikuwa ni Westham A vs Westham BGarnacho vs Wan‑Bissaka
Hato vs Bowen
Gittens vs Souček
Summerville vs Gusto
HT
Chelsea 0–2 West Ham
Tumestahili kuwa nyuma.
Mabadiliko yalikuwa mengi kupita kiasi bila sababu.
Katika mechi zote Garnacho alizocheza Chelsea hii ya leo kacheza hovyo sana hadi inauzi
Jorrel Hato sijui alikuwa anafanya nini?
Wewe mbuzi ndafuKenge kbsa nyie
Pigweni tu hakuna namna afu kipigo kingine kinawasubiri jumanne
Huyu ni bonge la kocha wazee. Sijui wachezaji walienda kuvuta bangi kwanza?Tuahitaji kocha aggressive namna hii, siyo umeshafungwa bado unacheza mpira rojorojo.
Hawa wachezaji sio, na hawatakuwa, wachezaji wa kuanza kwenye timu ya Chelsea angalau ndani ya misimu miwili. Liam Rosenior anatakiwa kuelewa hilo. Wote hawa wanapaswa kuingia kutokea benchi pale ambapo tumeshaua mchezo tayari.Quantity ✅️
Quality ❎️
Makocha wanaweza kweli kuwa average but tuna lundo la wachezaji below average. Refer timu ya kipindi cha kwanza na cha pili
Jackson angekuwa muingeleza au hispania angeimbwa sana, huyu delap hafiki hata nusu ya ubovu wa JacksonHivi huyu Liam Delap ana tofauti gani na yule mhindi anayeitwa Armando Broja
Nilichokiona kwake leo ni kusukuma na kuwapiga vibega wachezaji wa West Ham. Hakukuwa na chochote zaidi. Striker asiye na faida.
View attachment 3537131
Delap hamsogelei hata kidole kimoja cha Nicolous Jackson. Jackson akishindwa kukupa magoli anacheza anasumbua defence anatengeneza nafasi kwa wengine. Ila huyu, kinachomuweka Chelsea ni Uingereza wake tu na sasa tuna kocha Muingereza ndio basi tenaJackson angekuwa muingeleza au hispania angeimbwa sana, huyu delap hafiki hata nusu ya ubovu wa Jackson
Ahsante sanaHongereni the blues