Tafuta timu ukawe kocha, mimi nitakuwa shabiki wako wa kwanzaHuwezi kutaka matokeo ya ushindi kwa kikosi hiki, hao viungo wote hapo katikati wa kazi gani? Una fahamu fika wewe ndio unahitaji kushinda kwa namna yoyote ile alafu unaenda kujaza viungo wote ulio nao. Mbaya zaidi pembeni una muweka takataka Delap, aisee nilikuwa nacheka pindi hiyo takataka ikipewa mpira.
Huyu kocha ni takataka sana, basi kwa kikosi hicho angalau ule upande ipo ile takataka Delap angeweka winga mmoja (Estevao). Kisha huo upande ndio awe ana utumia sana kwa mashambulizi yaani mipira yote ipelekwe huko. Sasa hiyo takataka Delap ku force ata haijui, ikipewa mpira ni kurudisha nyuma tu.
Toa hiyo takataka aingie Estevao alafu muone nini kitatokea mpaka dakika ya 60.
Bado sana na hii timu yenuLeo ninategemea kwa mara ya kwanza kuangalia Full match ya Chelsea chini kocha Liam. Kwa namna alivyopanga kikosi ninapata Imani tunaweza kufanya kitu
Tafuta timu ukawe kocha, mimi nitakuwa shabiki wako wa kwanza
Limfumo bayaBinafsi nampa kocha nafasi kutengeneza timu. Naona ana mbinu anaweza saidia kutengeneza timu imara sana
Kama kuna mtu atakuja kulaumu kwa kufungwa leo naamini huyo mtu hajui mpira. Tumejitahidi sana ila tukubali huu ukweli Arsenal ni timu bora sana sio tu UK ila ni ulaya nzima.
Inaumiza sana ila kuna amani katika kuukubali ukweli
Kweli kabisa, kimfumo tumecgeza vizuri sana yule dogo Delap peke yake ndio mzigo uliobaki bahati yake umri wake vado mdogo ila sasa Chelsea haina muda wa kumsubiri mtu kama anapewa nafasi anaishia kufanya mafaulo ya kumpatia kadi tu.Tumepoteza hii mechi kwenye matokeo lakini si kwenye kiwango cha uchezaji.
Kwa mbinu hizi, zikianza kuwa za kudumu bila kuyumba yumba, Chelsea inaweza kufika mbali—Top 4 EPL na hata kufanya vizuri kwenye UCL.
Kaka Arsenal wapo vizuri. Ile timu imeundwa aseeh, jamaa wanajua kuzuia, kurudisha umiliki, kubadilika haraka kutoka kushambuliwa kuja kushambulia.Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
huyu Kocha wenu apewe wachezaji anaowataka....sio Eghbali anayewataka....mtafika pahala ila wakiendeleza ule ufala wao Ile bodi yenu....hakyani hyu rose nyemba naye mtamfukuzaTumepoteza hii mechi kwenye matokeo lakini si kwenye kiwango cha uchezaji.
Kwa mbinu hizi, zikianza kuwa za kudumu bila kuyumba yumba, Chelsea inaweza kufika mbali—Top 4 EPL na hata kufanya vizuri kwenye UCL.
Ubatizo unaanzaKama kuna mtu atakuja kulaumu kwa kufungwa leo naamini huyo mtu hajui mpira. Tumejitahidi sana ila tukubali huu ukweli Arsenal ni timu bora sana sio tu UK ila ni ulaya nzima.
Inaumiza sana ila kuna amani katika kuukubali ukweli
Amortim angepewa wachezaji anaowataka sasa hivi Man Un ited sijui wangekuwa wapi? Apprach bodi inachukua ya ID football ni kama ilivyo Barcelona, PSG, Bayern Munich, Man City na timu nyingine lukuki. Ili siku kocha akiach au kutimuliwa tunamleta tu kocha anayefanana na identity. Man City sasa hivi wanamuandaa Maresca kuchukua mikoba ya PEP kwa sababu ya identity kufanana. Hii ya kumtafutia kocha wachezaji kwenye identity isyo ya kudumu ya backline ya 3/5 ni mtindo wa kizamani sana na sio sustainablehuyu Kocha wenu apewe wachezaji anaowataka....sio Eghbali anayewataka....mtafika pahala ila wakiendeleza ule ufala wao Ile bodi yenu....hakyani hyu rose nyemba naye mtamfukuza
Kama Arsenal watashinda Premier League msimu huu, watakuwa ni moja ya timu dhaifu zaidi kuwahi kutwaa taji hilo katika historia ya ligi.Ww Lofa Mkohoti na vilaza wenzio njooni hapa tu discuss namna ya kuandaa sherehe ya ubingwa kwa vidume wenu....nyny mtakuwa kitengo Cha kugawa vinywaji kwa wageni waalikwa kama kina Livakuku na Mama Cita....tangu mwaka 2021 hamjatufunga na hio dalili haionekani kabisa.....narudia Tena hyu Kocha wenu mawani naye mtamfukuza tu🤠🤠
James hakuwepo na Neto🤣Leo hakuna kisingizio cha wachezaji.
Leo kisingizio ni mfumo.
Wazenge wengine huwaoni kwenye huu uzi wa hawa watu lakini niamini mimi hawa wangepata suluhu wangejisifu ujinga na wenzao wangekuja kuwasifu.
Wazenge kabisa