Yaani ni kwamba timu zikikutana na chelsea tu pekee ndio zinapaki basi?? kwa kua chelsea ni bora sana au? mana timu hiyo hiyo ikikutana na City au Arsenal inapasuka nyingi. Mnaona timu inapaki basi mana hakuna mchezaji wa kupga pasi za uthibutu, wanaishia kurudisha kwa kipa mara kwa mara.Kama timu tunayocheza nayo inapaki mabasi na makontena kuziba njia, hata pikipiki na baiskeli haziwezi kupenya. Unategemea wachezaji wafanye nini, watoe pasi za kupotea na kufanyiwa counter? Vitu vingine sio vya kocha, ni uhalisia wa mchezo. 💙⚽️