Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea kwa kumaliza nafasi ya 6, wanaweza kukutana na Monaco, Qarabag, Newcastle au PSG katika hatua ya 16 bora. Mechi za hatua ya 16 bora zinaweza kuanza kati ya machi mwanzoni au katikati
 
Usipumbazwe na hayo matokeo anapata, pale hamna kocha.
Kocha mzuri ni pamoja nakuona mistake yako nakusahihisha haraka na kwa wakati sahihi hiki ndicho alichofanya kocha wetu Gittens kazingua nakumtoa angalia aina ya substitution alizofanya ni za akili sana na nachopendea sana kwa huyu kocha Chelsea Sasa hivi inacheza soka la haraka ukilinganisha na mpira wa Maresca na ndio maana unamuona Joao Pedro yupo kwenye form ni aina ya mpira unaomfit
 
Kuna maneno ya wahenga wa soka wanasema
Kocha anayejua kushinda wakati timu haichezi vizuri au wakati hana wachezaji wazuri huyo ni kocha hodari sana
Zipo mechi ambazo ingekuwa ni Chini ya Enzo Maresca angeshindwa tena sana, ikiwemo hii dhidi ya Napoli, mechi dhidi ya Brentford nk
Rosenior akitulia akapewa mabeki wazuri akawazoea wachezaji na wachezaji nao wakamzoea, atakuwa bonge la kocha mwenye kushinda mechi nyingi sana
 
Chelsea ni mabingwa wa dunia
Wamepitisha kichapo kwa kila bingwa aliyesimama mbele yao.
Wamewakaza mabingwa wa Ulaya na Ufaransa bila huruma.
Wamewapasuapasua mabingwa wa Italia katika uwanja wao mgumu na wenye hofu.
Wamewasambaratisha mabingwa wa Hispania.
Wamewavunja vipande vipande mabingwa wa England.
Chelsea ikishinda dunia yote inafurahi na anayekasirika ni mchawi tu na Arsenal
 
Mfumo wa uchezaji wa Rosenior utawanufaisha sana akina Joao Pedro na Palmer na hata Estevao Willian
Sababu
Rosenior atamtumia sana Joao Pedro kama namba 9
Atamchezesha sana Esetvao Willian na kumpa uhuru tofauti na Maresca
Atampa uhuru wa kucheza Palmer, Enzo Fernandez tofauti na Maresca alivyowabana wacheze kama anavyotaka
Estevao Willian, Enzo Frenandez na Cole Palmer wakicheza kwa uhuru watatumia uwezo wao wote kucheza vizuri
 
Joao Pedro juu ya tofauti kati ya Liam Rosenior na Enzo Maresca:

"Nadhani Liam anatumia ukatili zaidi. Anataka tucheze zaidi kwa nguvu na kwa umakini. Enzo anataka tuwe na mpira zaidi; ni mzuri sana pia, lakini hiyo ndiyo tofauti."
1769667722385.png
 
Mfumo gani ni bora kwetu kati ya 4231, 3421
Hizo ni mipangilio tu ya wachezaji wanapoanza kucheza. Mpira ukidunda, formation inabadilika kulingana na falsafa ya kocha. Unaweza kuta 343 ya Conte ni tofatuti kabisa na 343 ya Liam Rosenior. Rosenior anatumia mifumo hiyo yote. Chelsea tusimtumie Fofana kwenye CCB hata kama tutatumia mfumo gani, hafai kabisa hapo. Anayejaribu vizuri ni Chalobah. Chelsea kusema ukweli haina CCB mzuri hata Colwill na Mamadou Sarr sio wazuri kivile hapo. Alikuwa ni Silva tu ndiye mzuri kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuusoma mchezo na kuhisi hatari kabla haijatokea
 
Mfumo wa uchezaji wa Rosenior utawanufaisha sana akina Joao Pedro na Palmer na hata Estevao Willian
Sababu
Rosenior atamtumia sana Joao Pedro kama namba 9
Atamchezesha sana Esetvao Willian na kumpa uhuru tofauti na Maresca
Atampa uhuru wa kucheza Palmer, Enzo Fernandez tofauti na Maresca alivyowabana wacheze kama anavyotaka
Estevao Willian, Enzo Frenandez na Cole Palmer wakicheza kwa uhuru watatumia uwezo wao wote kucheza vizuri
Kwa game ndogo zile za wapinzani wanapaki bus mfumo huo ndio rafiki wa kuwachezesha wote Palmer, Estevao na Enzo Fernandez
 
Mbili kati ya timu hizi aidha zitakutana na Chelsea au Barcelona kwente hatua ya 16 bora
1769711918320.png
 
Jamie Caragher kuhusu Chelsea kurudi UCL 2025/26
"Sidhani kama Chelsea inaweza kufuzu zaidi ya hatua ya makundi kwenye mashindano ya klabu bingwa ya bara la ulaya"
Jamie Caragher kuhusu Chelsea kushinda Kombe la Dunia kwa Vilabu,
"Huwezi ita kombe la Dunia wakati Mabingwa wa Uingereza, Uhispania, Ufaransa na Italia hawakushiriki"
 
Yaani chelsea tunacheza mpira mbovu sana, side ways pass na maback pass kwa kipa kama yote, nawaangalia Aston Villa hapa mipira inavyopitishwa kati sio poa.

Screenshot_20260129_232211_X.jpg

Inabidi kocha aache kiburi cha kutokumwanzisha huyu mwamba.
 
Yaani chelsea tunacheza mpira mbovu sana, side ways pass na maback pass kwa kipa kama yote, nawaangalia Aston Villa hapa mipira inavyopitishwa kati sio poa.

View attachment 3536335
Inabidi kocha aache kiburi cha kutokumwanzisha huyu mwamba.
Palmer anaumwa, mnataka aje kuwa kama Reece James?
Jana na ubovu wake katoa assists 2
Naamini wachezaji wakimzoea Rosenior, hicho kitu unachosema utakiona vizuri tu. Strasbourge ndivyo walivyokuwa wanacheza chini ya Rosenior
Kwa sasa mchezaji mbunifu na mwenye kuweza kumuona na kumhudumia striker akiwemo Joao Pedro ni COLE PALMER. Tumuombee apone na arudi kwenye fitness yake
 
Roadmap yote ya UEFA Champion League hii hapa
Uwezekano wa Chelsea na Barcelona kukutana hakuna hadi fainali
1769777861769.png
 
Mfumo wa kipumbavu sana, kila wakati ni kurudisha mpira nyuma. Ndio maana nawambia huyu Kocha bado sio sahihi kwa timu kama Chelsea
Mfumo wa uchezaji wa Rosenior utawanufaisha sana akina Joao Pedro na Palmer na hata Estevao Willian
Sababu
Rosenior atamtumia sana Joao Pedro kama namba 9
Atamchezesha sana Esetvao Willian na kumpa uhuru tofauti na Maresca
Atampa uhuru wa kucheza Palmer, Enzo Fernandez tofauti na Maresca alivyowabana wacheze kama anavyotaka
Estevao Willian, Enzo Frenandez na Cole Palmer wakicheza kwa uhuru watatumia uwezo wao wote kucheza vizuri
 
Uharaka wa kurudisha mpira nyuma? Hakuna kocha pale ile ni takataka. Uliona mfumo wa mtaalamu Conte? Timu shindani na inayo jua nini inafanya inapaswa kupeleka moto muda wote kama walivyo fanya Napoli.

Sisi Chelsea bado tuna lundo la wachezaji matakataka wakiongozwa na kocha. Kiufupi sisi bado sana kuingia kwenye ushindani haswa, tutaishia kushinda makombe ya bonanza tu ila yale makombe ya kibabe tutayasikia kwa majirani.

Huo ndio ukweli mchungu acheni kuwa mnajipa matumaini hewa.
Kocha mzuri ni pamoja nakuona mistake yako nakusahihisha haraka na kwa wakati sahihi hiki ndicho alichofanya kocha wetu Gittens kazingua nakumtoa angalia aina ya substitution alizofanya ni za akili sana na nachopendea sana kwa huyu kocha Chelsea Sasa hivi inacheza soka la haraka ukilinganisha na mpira wa Maresca na ndio maana unamuona Joao Pedro yupo kwenye form ni aina ya mpira unaomfit
 
Uharaka wa kurudisha mpira nyuma? Hakuna kocha pale ile ni takataka. Uliona mfumo wa mtaalamu Conte? Timu shindani na inayo jua nini inafanya inapaswa kupeleka moto muda wote kama walivyo fanya Napoli.

Sisi Chelsea bado tuna lundo la wachezaji matakataka wakiongozwa na kocha. Kiufupi sisi bado sana kuingia kwenye ushindani haswa, tutaishia kushinda makombe ya bonanza tu ila yale makombe ya kibabe tutayasikia kwa majirani.

Huo ndio ukweli mchungu acheni kuwa mnajipa matumaini hewa.
Kwa upande wangu huu mpira wake na ule wa Maresca hata siuelewi. Ni kwa kua labda naangalia mechi za timu nyingi tofauti tofauti.
Jana nilikua naangalia Espayol Vs Alaves, watoto mipira inapita kati kati mpk raha hakuna mpira wa kizee maback pass, nikajiuliza hii chelsea yangu itaweza siku moja kucheza hivyo kweli??!
 
Mfumo wa kipumbavu sana, kila wakati ni kurudisha mpira nyuma. Ndio maana nawambia huyu Kocha bado sio sahihi kwa timu kama Chelsea
Kama timu tunayocheza nayo inapaki mabasi na makontena kuziba njia, hata pikipiki na baiskeli haziwezi kupenya. Unategemea wachezaji wafanye nini, watoe pasi za kupotea na kufanyiwa counter? Vitu vingine sio vya kocha, ni uhalisia wa mchezo. 💙⚽️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom